Fahamu majina mazuri yenye maana MBAYA kamwe usimpe mtoto wako majina haya

preview_player
Показать описание
#knowledgeforyourfuture #fafanuomedia #tujengemahusiano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Acheni kupotosha umma Mungu hakuumba watu wa aina moja wanaotumia lugha moja na amefanya hivyo makusudi kwa ajili ya kila Taifa ili kutambuana vyema. Mafano neno (Bella) kwa kitaliana linamaana ya BEAUTIFUL Kwa maana ya uzuri.

sarllemmtunze
Автор

Msipuuze nikwer kama huamini baki Ivo Ivo

ELOHIMmakoye
Автор

be blessed.ni kweli Kuna mahana na nguvu katika majina msipuuze.

gracemawia
Автор

Thank for teaching ok tunataka maana ya raya

RayaAsmani
Автор

Ila nikweli kabisa Mimi naitwa merry muda wote ninauchungu moyoni sijui kwa Nini?

jamesobeid
Автор

Kumbe mungu wanguu nisayidie nimejikuta emilina mie jina rangu ni emelyine kwa malanyingi bananita emili 😢😢😢

marwaaljabria
Автор

Asante sana kwa kutujuza vipi kuhusu majina ya Islamic nayo yakoje

ziadamwidadi
Автор

Hayo pia mm siyapendelei.napenda majina mazuri km;Amani, Imani, upendo, Fadhili naengineyo

janesalamu
Автор

Yesu alikuja kuondoa uchafu kwenye Majina yetu, Tukimjua Kristo tumesafisha Majina yetu tuliyopewa yenye maana Mbaya

trophywilson
Автор

Atleast even without knowing my kids name I know they r good and has good meaning, , , miracle imani, , , zion ajabu, , hossana pendo, , , wonder asante

maureennthenya
Автор

Asante kwa kufafua majina wengine hatujui

rehemamlaponi
Автор

Naomba kuuliza trecious linamaana gani ?

annahmgenda
Автор

Nakubali mkuu, nipe maana ya Jina langu Samson

mkumbosamson
Автор

Kwendraaaa eti Lily ni mzimu 😂😂😂 kiukweli hiki kitu kwangu hakipo nakushangaa wewe na tafsiri zako ambazo hujazifanyia tafiti

furahaiddy
Автор

Yaaani unatuelimisha asante mungu akubariki

rehemamlaponi
Автор

Hapana inategemea na malezi Yako anaweza ukamwita YESU lakini akawa na hudhuni, mkorofi, mbaya, mwizi, mbishi

emmanueldamas
Автор

Hello, Lamini na Shannia ina maana gani pia Talia

EmmaculateAdhiambo-bi
Автор

Asante namba uniambie na jina la Rachel Lina mana gani

rechomtani
Автор

Nikweli kabisa. Mimi naitwa cesili nilikua sioni vizuri kwaneema tu. Ñaona sasa

celiahaule
Автор

Tusitukanane kaka Nan kakwambia calvin hatuoti nywele acha uongo

calvinjohn