MAJINA 200 YA WATOTO WA KIUME NA MAANA ZAKE KIBIBLIA

preview_player
Показать описание
Chimbuko la neno ‘’JINA’’ linatokana na neno la kigiriki liitwalo ‘’Sum’’ maana yake ni ukumbusho au kumbukumbu. Kila mtu duniani ana jina lake na jina hilo linabeba kitu kikubwa sana.

Mithali 22:1 ‘’Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu‘’

Jina/sum maana yake ni alama ya pekee ambayo anapewa mtu ili kumtofautisha na wengine, Jina/sum ni zawadi ya pekee ambayo mtu anapewa.

Ukumbusho au Sum kama ilivyoandikwa katika Biblia ya kigiriki maana yake ni jina Kwa hiyo maana ya jina/sum ni ukumbusho ambao mtu anapewa katika maisha yake. #gospomedia #gospotv

Usiache kuweka maoni yako na KU-SUBSCRIBE ili uendelee kupokea updates nyingine kutoka Gospo Media, Amen!

More updates:
Рекомендации по теме