ONA MAJINA 12 MAZURI ZAIDI YA KIISLAMU MWAKA 2022 & MAANA ZAKE | WATOTO WA KIKE

preview_player
Показать описание
Majina mazuri ya kiislamu na maana zake. Haya hapa majina ya watoto wa kike pamoja na maana zake. Fahamu maana ya jina Nasrin, Shamira, Zinurah, Shamim, Safia, Aida, Hamidah, Riham, Rahma, Faudhia & Radhia. Subscribe katika channel ya @majinamazuri

Subscribe katika majina mazuri hapa!

#Majinamazuri #Zinurah #Nasrin #Shamim #Safia #Aida #Rahma #Hamidah #Shamira #Riham #Radhia #Faudhia #Shamila

**Music in this video**
Starry Eyed Romance (YouTube Audio Library)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh samahan natak kufaham maan ya Farhiya

Amissahassan-zczc
Автор

Nashukuru kujua vizuri Maana za majna mazuri ya mabinti

shillahsamwel
Автор

Naomba maana ya jina mudhniin kwa kiislamu

FatmaHamza-fm
Автор

Naomba jina zuri la kiislamu linaloanzia na herufi E. Lenye maana nzuri kwajili ya mwanangu

emmyWilliam-xkcq
Автор

Naomba kujua maana ya neno sauda na sophia

SaudaKitemo
Автор

Naitwa nuru naomba maana ya jina khairoon

nurushomari
Автор

Naitaji majina matano yanayoanzia na mu kwa mtt wa kiume

Latifa-wukj
Автор

Naomba maana ya majina haya thuraiya na Thuhaira na ashfayyin

mwadiaMohamedi
Автор

Naomba kujua maana ya israa na jina Mahdi

abaajunainakombo
Автор

Kk me nakuunga mkono sana naomba maana ya jina la SUBAIHA

abuusubaiha