New song, Diamond Platnumz chitaki Official music video 

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sababisha zombie iko noma big chief ....ni chitty boy apa fire

WanguiGicheha
Автор

Wow mum supporting her son's Wonderful 👍

amanimapenzi
Автор

Hope one day I will make my mom to feel luckiest on this planet 🙂

letsknowourrural
Автор

Mama dangote jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣raha kweli mama nawanae kuwa wenyefuraha

nasraabdallah
Автор

Kaishiwa na tungo.
Chitaki ndio upuuzi gani? Ndiyo yale yale ya KITORONDO shiiit.

gulionigulioni
Автор

Kujishauwa kuna mwisho mama fsnya utubie tena

ukhtyrayyan
Автор

Unakwama wp mtu mzima dd ww je unaswali kumkumbuka mola muumba

yuriaudi
Автор

Watu naona mnamakariko kweli.mumuacche bi Sandra afurahi na mwanae jamani..mbona billnas alicheza na mamamkwe wake hamkusema, ...ila mondi akifanya thasiki kafanya...umaarufu nikiupata mie, nitacheza ata na baba mkwe.ili mratuu kuwakomesha😏mzee kwan hana roho, hana nafasi ya kufurahi na mwanae kisa mzee ebu nipisheni mie🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

halimash
Автор

Huuu ndo unafki unavyo mfagilia mama wa mwenzio kuliko mamako mzazi ata kumuwish tu kwa kumposti uwezi hila mama wawenzenuu duh dunia ina mengi sio kwa ubaya hila ni swali la kujiuliza leo wengi walio mzunguka diamond wana muhusudi mbaka mamake kwa kumuita mama hila mamako huko nyumbani una time nae kama ulivyo na time na mamake simba soo sad learn ku balanc3 mambo

hamisimganga
Автор

Nyange mkumbuke father achana na mama yako anajifanya kijana mtu mzima hovyo

alouisejohn