Harmonize ft Diamond Platnumz - Kwa Ngwaru (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Send SKIZA 8542829 or MYSKIZA 8542829 to 811 to set KWANGWARU as SKIZA Tune
Tuma herufi TJ kwenda 15050 kuwa muito wako wa simu (tiGO Tz)

KWANGWARU Available On:

Catch along with Diamond Platnumz on:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Moyo wangu ni wa makuti usinjie na kibiriti..
Penzi likageuka chuki nyumba ikawa kibiti..
Nipatie vya kitandan nipe mpaka kwenye kiti..
Ili asniingie shetan nawe nkaja kuku chiti (cheat)
# Kwa Ngwaru 🔥

DenyoReigns
Автор

Harmonize msanii wangu namba mbili wa kwanza NI diamond platnumz 😍😍😍😍 hukoseagi mmakonde wewe jamani daah #kwangwaru 🔥🔥🔥🔥

latifahissa
Автор

nacheka kwa zarahu sijutii kuwa shabiki wa #wcb asante mungu kwa kunioneshs njia iliyo safi #wcb 4life support from Arizona United States

congoboymbeyas
Автор

Oh basi Jahallay oh ya dine hasweee iyellowooo 💖ooo baby kwa ngwaru oh baby asa cheeseza inama ima eba woooonia shayyy 😘❤️💍💗🧡💜💙💙💖😍😍💗🧡💞💘🖤❣️💓💜❤️💖Oyia W Amman mz waaakkiogo

vickyhalm
Автор

Tamu Sana simba!!! Ishakubali! Basi jilegeze nikubebe mgongoni...

pascalambasa
Автор

Me najulikana kama team kiba mtaa mzma lakin kwa hii kwa ngwaru aise nimeumbuka mtaanii kwetu in a dk 50 lakin kila sehem utasikia kwa ngwaru, , ,umetishaaa harmo mapenz 👍👍👍👍👍👍👍

awardmwakyelu
Автор

Uwiiiioooo jamni #WCB mtanitoa rohoooo mimi ngoma kali hadi machozi yafuraha

marejaaclassictv
Автор

Dah munajuwa kubembeleza munanikosha kumoyo #weaTeamWcb
kama uko pamoja nami gonga like hapa twende sawa

nishackbazilyjustine
Автор

Ahhh yessss 💖💖💖diamond platinum my darling give you love oh means ur my love 😍

vickyhalm
Автор

Kwa ngwaru I wish ning my sister love ooh. No body can show u love ooo baby kwa ngwaru aha mrooba ooolalala 😘❤️❤️💖Haswe iyelelow 😘💖💖❤️

vickyhalm
Автор

Daaaa wmbo ni shida, likes nyng kwa Diamond na hermonize

hoseanobocka
Автор

Washenzi kabisa ninyi mmesababisha nakata mauno mbele ya darasni..
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

goldengilbertmunge
Автор

Kisha nibembeleze nirudishe kupiga deki na wima Kali sana, #Wcb4life

ItsChachaVictor
Автор

Jameni iteni wazima moto kwani hii ngoma kasha nituma kuchoma nyumba bwaana daaah WCB one love**

lucasman
Автор

Keep on Diamond🎶🎤🎧 more fan in Namibia

hiljastefanus
Автор

Jaman nilikua hospital na mgonjwa ndogo wangu anaumwa ugonjwa wa moyo ila saiv kapona Kabisa alivoisikia tu kwa ngwaru 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

jadenmsafi
Автор

ruge na clouse yako sisi tupo youtb tunakula raha wasafi diamondi kama maji usipomkoga utayanywa namuona milardayo kanuna gonga like tm wasafi twende sawa a boy from tandale

nassorlidoplt
Автор

Sawaa!!! Ngoja tusubili kuona watavo inamaa..
#kali

mngonifadhlee
Автор

ha ha ha ha ha haaaa....WCB mtatumalizia mb

robertpascal
Автор

Diamond platinum Well done 👍 Kwangwaru is in my language well done 👍

vickyhalm