EXCLUSIVE: DAYOO AKUTANA NA IBRAAH WA KONDE GANG/KUHUSU KUJIUNGA KONDE GANG?

preview_player
Показать описание
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV

Follow us on Social Media Platforms

Instagram:

Twitter (X):

Facebook:

TIKTOK:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tia like Kama unaukubali wimbo wa dayoo na Ibraah unao trend sana kwa sasa

hansprince_tz
Автор

Nmeikubali combination ya dayoo na Ibraah…. So talented

hansprince_tz
Автор

Crown watu wa maana kabisa hakika 🎉🎉😂😂😮😮🎉.

DaudoMata
Автор

King music... wanabidi wamsaini Dayo....we need to see the world of Dayo vs Chinga boy

royalimk
Автор

Hilo swali mwenyewe najiuliza Ibra amepatia wapi huo mstari? Duuuuh Ibrah kiboko wa love song💥💥💯

VictorNaissa-flsn
Автор

Tuache utani jamaa ni talents, Vanillah atoe Goma na Dayoo

SuleAmber-lwtx
Автор

ibraah nilikua natamani mfanye colab na dayoo

JaphethLole-qcln
Автор

Kwa ushaur tu muwe mnafanya setup kabla hamjarusha kipind hewani, haipendez kipindi kimeanza alafu mtu anaamisha kiti anaweka sehem nyingine Mala anaset Mike wakat shoot imeanza, hii kitaalaam haijakaa poa, but kazi nzuri nawasifu sana🤝

ernestgeorge
Автор

Ivi mnajua video ya fallen Angel imetoka

abditech
Автор

Vanilla na Ibrah itakuwa bonge la ngoma maana wote watamu kama kashata

saidbakari
Автор

Mnafurahisha bhn ila game imechangamk😂😂😂

novahrappertz
Автор

The throne ndio habali ya mjini kwa sasa

zingeboy
Автор

Nawatamani wasaniii wa kings music kwenye interview as k2ga abdukiba vanilla Tommy apo mjengoni

charleslulandalah
Автор

Mdogo wetu Dayoo jamaa kakufunika Chinga mbaya sana sio bato yako kabisa generation yako niyakina kondela, yamii ila keep up maana ata Trump alisoma chekechea bila D mbili hauwez nielewa

SwahiliAmbasador
Автор

Dayoo anaongea sana vitu ambavo sio vya lazima, , , , ibrah kafundishwa kuongea kwny interview afu hiyo ngoma dayoo amekalishwa

kevo_da_clever