TAZAMA ABBAH AKITENGENEZA BEAT YA JEJE YA DIAMOND PLATNUMZ

preview_player
Показать описание
#Abbah
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante mungu nimeickiah

An0ther banger, ..

REMA

edsonsteven
Автор

Unyama saaana. Napenda natural music beats

batoromeojohn
Автор

Abbah Hiyo Kinanda nohma sana naona Key zote broo

bonnysureolkokolaboy
Автор

Daah nouma saana mzee baba abah ploses

hidayacasemiro
Автор

hiv hii beat imetumiwa kwenye nyimbo gani ...maaaan daha nina mzuka nayo sana kusikiliza

jameslucian
Автор

Kweli Tz cc ni Wanyamaa kwenye upande wa music Afrika masharik na kati c ndio baba lao maana kila sector wanyama wapo wengi ...

amaniomballa
Автор

Nakukubali xana wee jamaa hakuna kama ww bana

abasshaji
Автор

How long with that keyboard last the way it was bang

obentov
Автор

Abbas UFO vizur bro kunawatu wanakuogopa Sana Tani has was Mazuu record anakuugua Sana Mimi nilikuwaga Mpiga picha wake

Sudybeka
Автор

Kumbe Hili ni Song kabisa la Album dadeki

amoury
Автор

Achuz mkuu hiko kigoma kimevurugwa bro

leonike-kjhf
Автор

Biti ikimpata mtu LAZIMA ISHIKE NAMBA MOJAAAA

wikidboy
Автор

Pangekua nauwezo mngempa Mario iyo biti akafanya kitu chamaana

amanikasim
Автор

Hi, naitaji production , mnapatikanaje?

BeatriceSosipeterWagara
Автор

TUNAOMBA UWE UNAPOST VIDEO KAMA HIZI TUNA ZI.HITAJI SANA NAONA MWANZO ULIANZA UKAKATA

chipmunks