Keysha - Darling [Official Music Video ]

preview_player
Показать описание
Update Your Playlist With Brand New Music Video From @Keysha1

The Song is Available on all Digital Platforms
Get The Song Now👇🏻👇🏻👇🏻

Video Directed By: Traveller/ Level's Baba
Audio Produced By: Aloname

Catch Malkia Keysha On:

Please don't forget to LIKE, SHARE, COMMENT

Hii ni video ya pili kutoka kwenye Album ya #Mwangaza ambayo inafanya vizuri sana katika media zote.
#Keysha #Darling #Mwangaza
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mtamu sana huu, beat imekaa mahala pale, kwality ya video tamu sana

danielkalasha
Автор

Wimbo mzuri mwimbaji mzuri #mambo mazuri #Keysha the best

erastorukoka
Автор

Nyimbo kali sana kuanzia utunzi mpaka muonekano wa video hakika umeamua kurudi kivingine katika game la bongo fleva tisa sana dada keysha 💥💥💥💥💥💥

KITALAMBOAPPTANZANIA
Автор

Wimbo mzur sana maneno mazuri na matamu sana

sannykinderu
Автор

Hongera sana Dada keysha nakupenda sana

HappyNyambi-ulbr
Автор

yanituliza mtima, najipata Kwa hisia fulani

ticketmastertips
Автор

Dada k ww ndomsanii wangu wa mwaka 2023 nimekuelewa balaa

abasikandoro
Автор

keysha sauti yako haijawahi kuwa na mikwaruzo niyuleyule wa Nimechoka ukiwa na Diamond

standardtv
Автор

Naipenda Sana mwanzo hapo anaposema unirudishe enzi zangu za uvumilivu...unipende nile raha za nguvu👍👍

matanoabdallah
Автор

Ngoma kali sanaa... Dada keysha🔥🔥🔥kipaji hakipotei😍😍😍

geofreyfrancis
Автор

Nyimbo yangu ya kufungulia mwaka, naipenda mbayaa.

bennyngoye
Автор

Outstanding. It was great meeting you this morning —Holger

SaddlesAndBars