filmov
tv
ALIKIBA ASIMULIA MSOTO WALIOPITIA na KEYSHA KWENYE MUZIKI - ''ANASTAHILI SIFA''...
Показать описание
ALIKIBA ASIMULIA MSOTO WALIOPITIA na KEYSHA KWENYE MUZIKI - ''ANASTAHILI SIFA''...
Usiku wa kuamkia leo Januari 14, 2023 umefanyika uzinduzi wa kihistoria wa Album ya Mwangaza ya kwake Mbunge wa Viti Maalum na Msanii mkongwe wa Bongo Fleva wa kuitwa Keysha ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Nape Nnauye.
Tukio hilo limechukua nafasi ndani ya Ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi, mastaa na watu wa kada mbalimbali.
Pia uzinduzi huo umepewa Baraka zote na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) chini ya Katibu Mtendaji wake, Dk Kedmon Mapana.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ OUR PLAYLISTS: