ROMA - Nitasimama Tena Feat Abiud

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huu wimbo umenigusa Sana mimi niliezaliwa katika familiar ya kimasikini. Lakini Leo Mungu kanijaalia riziki nimekuwa mkombozi na WA familia kiuchumi

edwinntabwa
Автор

"huwezi chagua mzazi wa kukuzaa" nimependa hiyo nipen like sayansi ya Mungu🇹🇿🇹🇿

davidmwandalima
Автор

Album ina madini yote mpaka inakera .Wanangu wa VIVA ROMA Njooni kwa like mzigo ukae on TREND.ROMA fans From Zurich 🇨🇭

chumkhamis
Автор

SAYANSI YA MUNGU UTAIKUFURU KISA NJAA, ILA HUWEZ CHAGUA AINA YA MZAZI ATAE KUZAA, JILAN KAZALIWA NA WAZIRI WEWE MAMAKO KICHAA BABA MLEVI ALAFU KOND WA DALDALA KIBAHA. LIKE NYINGI SANA KWA LINE HII

Eizyme
Автор

From Kenya I love this song.. nipeni likes za Roma kindly

GREATTRADERSUNION_GTU
Автор

Huyu Mwana!!!jamani anafanya kazi nzuri sana..Tukianguka lazma turudishe mpira kwa kipa na tutaanza tena, ntasimama tena nina imani sana..🇰🇪🇰🇪🇹🇿

Danny
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥 Kama unaamini Roma Mkatoliki anajua like nyingi....

Manoni
Автор

Kama umeguswa na hii kazi like nyingi team romaaa❤❤❤😢

Manjalino
Автор

Hakuna rapa anayemzidi Roma kwa hapa bongo 🎉🎉🎉🎉🎉

dallasmusic
Автор

Wanaosikiliza hii nyimbo tena 2065, Huu Wimbo Ulibadili mtazamo wa vijana Wengi Sana Kupambana Kwa ajili ya ndoto zao na familia zao..

ferdinandlazaro
Автор

Sante kaka wimbo mzuri hujawai kosea endelea hadi wale vichwa ngumu watingushe vichwa japo watakua wamechelewa kukuelewa one love

eliahswai
Автор

kama una mkubali roma gonga likee hapa

MICHAELEDWIN-fhnq
Автор

Wakwanza kutoka kenya ...Roma big up ...moto sana

ChakaEmmanuel-li
Автор

Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️

RadjaboyKubita
Автор

Roma mupendwa WANGU jana niriona picha yako yakifo yasamba mitandaoni wana habari waki urizana vip roma amekufa NIKAWA NAHOFU 😢😢😢KUMBE IRIKUWA CONTENT yahii ngoma big up Roma and more love❤❤❤❤❤

besteva
Автор

Kama wewe ni team rostam tumpeleke trending #1
Boy from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏🙏🙏

mboscinho
Автор

Oya mwanangu Abiud yumo na anajua sana VIVA ROMA

saidbakari
Автор

kumamake jmn jmn, hii ngoma Allah niongoze jmn

sharifuahmed
Автор

bigup kaka ngoma nikali kaka roma
heshima sana ila abiud usimuache kaka muinue na yeye atoke ata kidg maan hiphop ninguma sana kwa underground kutoka muwek kwenye chati asaidie familia yeka na yeye ajiinue kaka maisha mema

mathiasfrancis
Автор

Yaani huyu mwamba ndio soldier alobaki wa kuimba ukweli pekee. Much respect all the way from Mombasa Ke.

carl-donald