ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ROMA - 2030 - ( Official Music Video ) SHOT IN DAR ES SALAAM TANZANIA....MUSIC produced By, Ryder - Tongwe Records - VIDEO Directed by NISHER. PLEA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaisikia wimbo huu 2025 (give me ur likes)

SafiTabu
Автор

Kama unaisikiliza hii Ngoma 2024 gonga like

juliusyusufu
Автор

Kwa kila atakae like kwenye Comment yangu nitarudi tena kuangalia nyimbo hii bora kabisa ya Nabii Roma Mkatoliki.
This Dude was Extra ordinary, he is mora than Artist❤‍🔥❤‍🔥💯💥

EdwardSamson-ufee
Автор

2023 Baada ya kusikiliza nipeni Maya yangu nmerudi kusikiliza Tena hii Ngoma..

ashagowa
Автор

Kama unaangalia ngoma hii 2030 gonga like

fredmwankaja
Автор

Kama unausikili ngoma hi 2025 gonga lik

depaboyTz
Автор

Kama unaangalia hii ngoma mwaka 2023 nipe like zangu

habillahimsokela
Автор

Tukipata nyimbo kama hizi za kufunza na kuonyesha tulipo na tunapoenda ndo vema zaidi, kuliko kuimba nyimbo za kushikana shikana na mademu kwenye nyimbo, na kukubali sana Roma ajia mademu zile zingine ngoja sisi wanaume tusikilize

michaelmuchomerson
Автор

Kama unaangalia ngoma hii 2023 gonga like🙏🙏🙏

KhabilMtumwa-eo
Автор

Nasikiliza hii ngoma 2024 December huku umeme hamna watu wanatekwa bila sababu wanauwawa bila sababu naililia nchi yangu TANZANIA 🇹🇿

zakariapaulowiliamuwiliamu
Автор

bonge moja la future kutoka kwa mkatoliki roma kubali sana huyu jamaa na ngoma zake adimu na zenye kuelimisha jamii na kusaidia kuelimisha wananchi.

gilbertmbwambo
Автор

Huu ni mtazamo wa mbali big up ROMA, Nani bado anaikubali hii ngoma mpaka sasa 2019 anaiangalia

emanuelcharles
Автор

Nani karudia nyimbo za roma zote 2023 baada ya kusikia nipeni mauwa yangu

DianaKabwaye
Автор

Big up bro
nazikubali kazi zako kwani hujawahi kunianguxha hata siku moja.

kelvinrichardshirima
Автор

Mungu aendelee kukupigania roma unaona mbali sana ila kuna wa2 wanataka kukufumba mdomo kuwa makn

vakwawesanga
Автор

2024 hapa kenya bado natafakari mbona mamake roma alisema asimchumbie mmachame

theemayor
Автор

I can't get enough of this song,
Mistari ya pesa inatisha,
"Marehem ufanachake, pambana upatechako.."

RamazaniMulongeca
Автор

Mungu msaidie Roma ili huko aliko awe hai arudi aione familia yake

naijoel
Автор

nakuheshimu sana ROMA mziki wako ni mageuzi ya kifikra taratibu tutafika kwenye mabadiliko

emanuelissaya
Автор

Live long Roma. it's 2022 and it's still the hit

MohamedMohamed-fzqh
welcome to shbcf.ru