Magoli manne | Simba 3-1 Mlandege - Mechi ya Kirafiki 17/10/2020

preview_player
Показать описание
Chris Mushimba Mugalu amefunga magoli mawili katika ushindi wa mabao 3-1 iliyoupata Simba dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Goli lingine la Simba limefungwa na Ibrahim Ame huku goli la Mlandege likifungwa na Yahya Haji.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante Sanaaa Chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂 Tukutane trh 7 kwa Mkapa 🐸🐸 🐸

ferouzmasoud
Автор

wanasimba wote follow account angu tupate vitu vzr

wa-mbeyaTv
Автор

WAchezaji wa bongo guan wananivhekesha sana, yani wafupi kisenge alafu wamekonda sijui wanafkiria nini baadala ya kwenda gym na kubeba vyuma na kula vizuri, wao wanashabikia ufupi na wembamba hamuwezi kufikia level za ulaya design hii mtabakia kucheza mlandege.

machinefannatic
Автор

Ushind siyo kipimo Bali uwezo/ kombination ya timu. Kwa mchezo wa smb vs mlandege muunganiko uliyumba kwa smb pale mbele

eliasnyondo
Автор

BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA
Tuna bidhaa hii iitwayo
ARTHROEXTRA TABLETS
Hii
-Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa
-Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga, magoti na mgongo n.k
-Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage)
-Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
-Huondoa tatizo la athritis
-Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio

Pia kuna
ZAMINOCAL PLUS CAPSULES
Hii
-Mchanganyo wa Zinc, Calcium, magnezium na amino acidi(protini)
-Huboresha mifupa na meno
-Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka
-Husaidia sana mfumo wa fahamu
-Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri
-Huongeza hamu ya kula
-Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua.

Pia kuna GLUZOJOINT-F
-Huzuia maumivu ya viungo
-Huzuia kulika kwa maungio
-Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage).

Ushauri zaidi wasiliana nasi pia Whatsup
+255712126669
Simu kawaida 0683147077

harounramadhan
Автор

𝙅𝙀 𝙐𝙉𝘼𝙅𝙐𝘼 𝙈𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙅𝙄𝘾𝙃𝙐𝘼

1.KUMALIZA NGUVU ZA KIUME
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume,

kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.

2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA UUME

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.

3.Uchovu wakati wote /

4.Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini / Lower back pain.

5.Kusinyaa kwa Nywele na nywele kunyonyoka

6.Maumivu ya kende

7.Maumivu ya kiuno

8.kusababisha low sperm count.

9.Kufanya kuwa na upungufu wa madin mwili(zinc, calcium, selenium n.k)

10.kupunguza au kuto kuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito

Hayo ni baadhi tu ya madhala kati ya mengi

Ili uweze kua sawa na kurud katika hali yako usiache kutupigia kwa msaada zaidi

Piga/whatsapp 0686128516

issamatukano
Автор

Magoli rahisi sana sio sabb ya kujsifu

maikosamila
Автор

Ndo mlichokuwa mnataka mcheze na mlandege mjisifu cyo.

juniorchilongola
Автор

WAKATI PRINCE DUBE WA AZAM ANAULIZIWA NA TIMU NYINGINE KWA DAU KUBWA HUKU SIMBA NA MZEE WAO HAMNA WA KUMUULIZA JAPO ANAKARIBIA KUMALIZA MKATABA.(UMRI TATIZO).

mashakanyaganza