Magoli | KMC 1-3 Simba | NBC Premier League 26/12/2022

preview_player
Показать описание
Simba imeendeleza ubabe dhidi ya KMC, ikiitandika magoli 3-1 leo kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza mchezo wa #NBCPremierLeague

Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 16, Augustine Okrah dakika ya 55 na Henock Inonga dakika ya 73 huku goli la kufutia machozi kwa KMC likifungwa na Sadala Lipangile dakika ya 52.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Simba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mwingine anayemini agonge like hapa

mwl.ombimahenge
Автор

Alhamdulilah 🙏🙏 msimu huu mechi za ugenini Simba tunajitahid tofauti na misimu iliyopita Kila lakheri chama langu.

salimabakari
Автор

😀😀naskia kmc walisema kama kwa mkapa tulipata point 1, tuwapeke kirumba tuchukue zoteee, yaliyowakuta sasa hawaamni mawazo yao pamoja na miguu yao, SSC Nguvu moja ⚽⚽⚽💪❤️❤️❤️❤️

hadijamaiga
Автор

Huyo inonga hayo yameshakuwa magori yake, beki mfungaji

Mpakauseme
Автор

Kazi safi chama zima ila nawaomba sku muwapatie ki furushi cha 4G hao utopolo waache kujinadi

husseinabdhallah
Автор

Mpira ni mchezo wenye matokeo ya kikatili sana mwenye points 10 mbele atakuwa chini si mda mrefu

desolz
Автор

Goli kipa wa KMC leo atalala hoi huu msako aliofanyiwa siyo wa kawaida 😆

rosemahenge
Автор

DADEKI GOLI PILI LINAITWA MWANA UKOME NA LA TATU NENDA KASHITAKI 🤣🤣🤣🤣

salimmalaka
Автор

Haikuwa penalt! Ukiangalia vizuri aweso alijipeleka kwa Onyango akajigonga naye wote wakaanguka! Mtu unayekuja kwa nyuma utaangushwaji na aliyeko mbele yako teno wote mko speed! Aweso yeye ndo aliyefanya faulo! Ahsante kwa refarii kuwa makini! asingekuwa makini angefunika penalt!

chrissg
Автор

Mtangazaji Sasa hiyo watiyaheda nikizungu au kiengilishi

abdullaabdullahmpakanjia
Автор

Makolo wanapambania nafasi ya pili 😂😂😂

officiallcoolest_khid
Автор

Halafu watangazaji mnaotuwekea kwenye mechi za simba 🚮

charleschao