Anastacia Muema- Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya (Official Video) Feat. Despina Mdende

preview_player
Показать описание
WIMBO:MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA. ( by John Mgandu )
ORGANIST: DAVID BENJAMIN WASONGA.
WAIMBAJI: ANASTACIA MUEMA & DESPINA MDENDE
STUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Quality music inaingia ndaniya Rho yangu.

VincentBolo-fe
Автор

Bwana ni mwema kwa wamchao anaweza kwa malisho yake(neno lake)

MauriceKithuka
Автор

Aiseee, hongereni sana Annastazia na Despina. Hii kazi ni nzuri sana, among your best. Keep it up.

Apumzike kwa amani huko aliko mzee Mgandu.

BernardMukasa
Автор

Kazi Anaother one tena..
Hongera sana Anastacia Muema kwa kazi nzuri, Pongezi kwa Despina Mdende kwa sauti nzuri kabisa, Kaka yangu David Benjamin Wasonga kwa Kucheza kinanda vyema kabisa, Bila kuwasahu waandaaji wa kazi hii, Audio na Video, Holy Trinity Studio. Mungu awabariki sana🙏🏻🙏🏻

rajopro
Автор

Mungu asifiwe sana kwa hikyo kipaji alico kupa dada nafurahi sana ninapo sikiliza nyimbo zako

marieleonie-qg
Автор

Nimefurahia kazin nzur sana natamani SIku Moja tuwe pamoja katika kazi ya kumtumikia mwenyez mungu

JeromeMlay
Автор

Aky utaenda mbingu serious your voice Ni ya kuita malaika

AlbanusMutiso-df
Автор

Despina hakika unasauti nzuri sana, , hongera sana

paulombano
Автор

Waaoooh umenikumbusha Mbali Kaz nzur 🎉🎉

MagrethAlexanda-hwvs
Автор

Nilijua tu siku mkifanya wimbo kwa pamoja utakua mzuri jamani dada zangu Mungu awabariki Sana na aendelee kuwabariki ktk utume wenu nawapenda Sana ninyi wadada.

romanilyimo
Автор

Sauti nzuri mno Mungu akubariki Kwa kumtumikia katika nyimbo.

martinotima
Автор

Laurent Binamungu .hongeren kwakumwimbia mungu

TwifutwalibuTwifutwalibu-kgyj
Автор

Mbarikiwe sana ninawapenda.
Kuna wimbo mwingine mliimba pamoja naomba link yake maana najaribu kusearch lakini siupati❤

salomemhalule
Автор

Karibuni kutazama wimbo huu ulioimbwa na Anastacia Muema akishirikiana na Despina Mdende. Organist ni David Benjamin Wasonga.
Audio na Video zilifanyika katika studios za Holy Trinity, Dar es Salaam.
Please SUBSCRIBE, SHARE, LIKE and COMMENT. One Love!❤️

anastaciamuema
Автор

Good job my regards to Despina much love my sisters💕💕💕

lilianalara
Автор

Aksanti mwimbo nzuri sana nimefurahi na music kabisa

jordanlanga
Автор

Kazi nzuri sana dada Anastasia na ueendelee kubarikiwa pamoja kikundi chako

cephaswamalabe
Автор

unaimba safi sana congratulations Sister wetu ubarikiwe

mathiasbilly
Автор

Niko hapa 2024, kazi nzuri saaana Mwenyezi Mungu awatunze, naomba hii combination iendelee🥰🥰

RichardEmmanuel-vd
Автор

Kazi nzuri sana. Congratulations! Anne and your partner.

Kandiejuniorable