filmov
tv
FAHAMU AINA KUU 4 ZA MINYOO INAYOPATIKANA TUMBONI KWA MBWA
Показать описание
FAHAMU AINA KUU 4 ZA MINYOO INAYOPATIKANA TUMBONI KWA MBWA
Imeandaliwa na @joackanimalclinic
Minyoo ya tumboni (Intestinal Worms) ni parasite wanaoweza kushambulia wanyama na binadamu pia, na hupatkana kwenye utumbo.
Minyoo huwa inasababisha ugonjwa kwa mbwa na mara nyingi mbwa wadogo ndio huathirika zaidi hadi kusabisha kifo.
Kuna aina kuu 4 za minyoo kwenye mbwa ambayo ni muhimu kuwafahamu.
1. Roundworms: hii ni minyoo ya mviringo yenye rangi nyeupe Kama tambi na inapatikana sana kwenye utumbo.
2. Hookworms: hii ni minyoo mviringo na mifupi kidogo na ina hook (kitu kama ndoano) kwenye ncha moja na ina mmdomo ulio chongoka ambao wanatumia kujishika kwenye ukuta wa utumbo kwaajili ya kunyonya damu.
Hawa minyoo wakiwa wengi husababisha upungufu wa damu kwa mnyama na kifo.
3. Whipworms: hii pia ni aina hatari ambayo inasabisha ugonjwa ata kwa mbwa wakubwa.
Minyoo wakubwa upatikana kwenye utumbo mkubwa ambapo huingiza vichwa vyao kwenye kuta za utumbo.
4. Tapeworms: hii ni minyoo bapa inayo husababisha ugonjwa. Hii minyoo mara nyingi husababisha muwasho sehemu ya haja kubwa. Na viroboto ndio wanahusika sana kusanbaza hii minyoo.
Ukiona mbwa wako anajikuna nyuma, au analamba ujue anashida ya hii minyoo.
Ushauri:
Kama tulivyo eleza hapo juu, kwamba hii minyoo inaambukiza hadi binadamu na watoto wadogo wapo kwenye hatari zaidi.
Hivyo ni muhimu kuhakikisha mbwa wako au wanyama wako wanapata TIBA-KINGA ya minyoo kila badaa ya miezi 2 - 3.
Kwa kufanya hivi utakikisha usalama wa mbwa wako, wa watoto na familiar yako kwa ujumla.
Ni muhimu pia kuhakikisha unatumia wataalamu wa mifugo wenye uwezo mkubwa ili kuhakikisha wanatatua kila changamoto.
Usiache kuwa karibu na JOACK Animal Clinic, hii ni timu ya wataalamu wa mifugo wenye uzoefu wa kutosha.
#minyoo #minyooyambwa #tatizolaminyookwambwa #roundworm #flatworm #minyoomviringo #minyoobapa #miyooyapaka #tibakingayaminyoo #dawazaminyoo #matibabuyaminyoo
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
JOACK......