Harmonize - Sherehe (Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
Harmonize - Sherehe (Official Audio)

Produced By; S2kizzy

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

#Harmonize #Sherehe #Kondemusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

American🇺🇸, Nigerians🇳🇬, South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼, kenyans🇰🇪, ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭, cameroonians🇨🇲, togonians 🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve HARMONIZE as our African sweetheart

danatimusic
Автор

Oyah wanangu wa Tz🇹🇿 nawapenda sana kutoka Kenya🇰🇪. Let's forever live in peace, love and harmony au sio😇

luckyluchano
Автор

Mmakonde pokea maua yako💐💐💐hii ni kali, hiyo hukuuu hukuuu🔥🔥🔥🔥

emmanuelkijana
Автор

Harmonize naomba next ufanye ngoma kama unaeleza story ama mtu kupitia changamoto hivi, kama vile 'matatizo'. Zinatupatia maadili sana. Much love Harmonize❤🐘

luckyluchano
Автор

Ntangu nime hanza kujua kuwah kukoment sijawahi pata like 10 leo nipo tena ndani ya Sherehe 📌📌👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Ommymidungo
Автор

Wanao mkubali Harmonize 💯 💯 na ambao mtakuwa hapa 2025 nawaombeni likes 😂😂jameni❤❤❤❤🎉🎉

DestineNakalala
Автор

We mxenge unajua kucheza na hisia za watu kwel hakuna mmakonde mxhamba big up konde🎉🎉🎉🎉

DeeDan-sjmr
Автор

Harmonize song kali sana mi wakwanza kutoka congo

ShukuruRed
Автор

Kama wewe unatok Kenya na unampenda konde boy weka like tukisonga
Kenyà kenya Kenyan commentors🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

LAWRENCEKMALOT
Автор

Harmonize sherehe na omba like zenu kwake🎉konde boy félicitations 🇹🇿🇨🇩🇨🇩💯

Kondeboytz-sz
Автор

Uhu mwimbo unagusa wa single boy wa Droncongo kweli🇨🇩 big up kk unatufanya tufulaiye maisha tulio nayo sis wa single boy . Nakutokuwa natamaa yawanawake sis vijana wasasa . My congrutilations for you📲🎤

mmamsiyums
Автор

Yaani Jamani Jeshi unaBongo moja linalochemka mistari Fire..
Alafu kwetu Sherehe. Big Fan
#hukushereheharmonize

joshualubango
Автор

Nakubali sana kaka Wakiwaza mapenzi sisi tunawaza pesa na hatuchekeshi tukizipata

JosephatNdonde
Автор

❤❤ wa kwanza ku comment from Kenya 🇰🇪 wapi likes zake kondeboy

Vintonekaveli
Автор

Hii ngoma kila nikiisikiliza nacheka sanaaaa daaah! Ety "Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa, Ona yanavyokutesa"...😂😂😂😂😂😂

DarkLearners
Автор

Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂

Zezeta-yrhy
Автор

Kabxa msani wetu konde nakubari naji proud u bro 🎉🎉🎉from 💥💥🇧🇮👌

uweconcoe
Автор

❤❤❤ super Star.. king konde 💪.. kazi njema Brother wangu 🙏🥀..ni kweliiii kazi tunayo kwajili yawatu wote duniani nzima 💪🌏

TsongoMking
Автор

Hii nao n Kali #Shelehe 1:🇧🇮 🇰🇪♥️👊👊 uliwaza #Mapenzi si tukawaza #Pesa 🤣

BurundiNathan
Автор

Rwandan people where are you ❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼

Djibril_Rwa