Harmonize - Sherehe (Official Lyrics Audio)

preview_player
Показать описание
Harmonize - Sherehe (Official Audio)

Produced By; S2kizzy

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

#Harmonize #Sherehe #Kondemusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Apo sawaaaa Nimizoweya ngoma za Harmonaize Konde Boy 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

baptistamanuelbulachi
Автор

Ikiwa n furahiday ni sherehe🎉 jeshiii siku zote

jonesdangote
Автор

🎉🎉 sapoti nyingi nyingi kwa mwamba wetu👍👍👍

Justin_Nano
Автор

Wanasema siwezi pata likes ati juu mimi ndio shabiki wa damu wa KONDE BOY 😢

mashabikiwaharmonize
Автор

Tembo mwanangu sijui nisemeje yaani wewe ni moto na haupoi, ngomo kali❤❤

LyvaBossy
Автор

Sherehe kondegang hatupoiii yaani kila goma likitoka ni hits song mpaka tumechoka kuwa number one kilasiku ❤❤ much love from 🇺🇸 ❤❤🎉🎉🎉

Youngmonster-bv
Автор

Nakukubali Sana jeshi tembo Conde boy wewe ni Noma Bros harmonize 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo

JeanLunda-nvfd
Автор

Wewe ni namba one.Nakubali sana from Mpanda [KATAVI]

Ibraa__
Автор

Harmo anajua sana sisi wakenya tunamkubali sana. Alfu jamani mbona nyie mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HamisiChipotele-flxo
Автор

harmonize ...nakuona Kwa jicho la tatu....no one like you men...🎉🎉🎉🎉🎉

AyubuMzadini
Автор

tuliwaza mapenzi pesaa....sherehee....wangu tuna

mwasdemmkenya
Автор

Huyu jamaa ni namba moja mtake msitake

mnyamwezitv
Автор

Sikumbuki mara ya mwisho Harmonize Alitoa Ngoma.Anatoaga HITS TU!🎉🎉🎉🎉
ULIWAZA MAPENZi SISI TUKAWAZA PESA🎉🎉🎉🎉

IAMLUCKY.
Автор

Love from kenya...I love you i gonna be hit song hapa kenya maana tunapenda sherehee uku

davidmutinda
Автор

Burundians let's show love our Harmonize❤🇧🇮this is 🔥💫

ValenceBimenyimana-zw
Автор

Kenya tulishasema konde ...ndie tu mbongo tunakubali💪💪

ammedizofficial
Автор

Yeyote atakaye iona hii comment naomba alike ili nirudi kuisikiliza hii ngoma please 😢😢😢🙏🙏

seekertvonline
Автор

Kaka unajua mpaka unaboa aiseeh lini utatoa nyimbo mbovu🙌🏿.Kaka nakuombea kwa Mungu akulinde uendelee kukosha akili yangu na moyo kwa muziki mzuri wenye ujumbe on point, salute sana bro Rajabu.

AlbertoRwaka
Автор

Wanasema siwezi pata likes juu mimi ndio namba 1 fan wa harmonize 😢

mashabikiwaharmonize
Автор

Konde Kila siku love from Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥 kakangu huyu wanangu likes from Kenya twende

Niccniccurofficial
visit shbcf.ru