SEMA NAMI - NEEMA CIZUNGU

preview_player
Показать описание
#worshipmusic #trending #gospelmusic #music
SEMA NAMI - NEEMA CIZUNGU #255672555095#

SHALOM WAPENDWA
Ninawakaribisha sana kwenye channel yangu ilikubarikiwa kupitia nyimbo hizi.
Naomba msisahau kuwasiliana nami kupitia #Call255672555095

naomba usisahau ku share
comment
like
Nimatumaini yangu kuwa Mungu atawabariki sana kupitia huu wimbo
mbarikiwe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I love such sermons done in songs, what a great composition ...I love the piece Neema Cizungu you are a great composer and a singer, your vocals and instruments touches my heart . Amen Much love from Kenya.

richardharold
Автор

Who is here on Thursday 14th November 2024?
Just know you are an amazing person. GBU

AliceLamwaka
Автор

Whoever reading this, Bwana atasema na wewe!
God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen

praiseandworship
Автор

Even in this new month.... Lord manifest in my life😭😭😭nizungumze na wewe...

mosehworshippermusic
Автор

Wapi 2023 likes ya Mathe Cizungu👍👍👍👍👍👍
I wish i would like this video a trillion times...
Yani this song still rocks as evidenced that it was written from heaven and produced here on Earth.

AliceLamwaka
Автор

Naongea na Mungu saa hii leo tar 7 February 2025 kupitia wimbo huu napata amani sana❤

lydiamunishi
Автор

Barikiwa sana na Bwana kipitia hii injiri ya huu wimbo am very much blessed

lulugama
Автор

Amina.nakupenda sana mtumishi waMUNGU, nyimbo zako nzuri

RoseMlay-js
Автор

This should be the world national anthem.... Playing it 24/7

catherinenyambura
Автор

Asanteni saana wapendwa munao support kazi zangu, Mungu awabariki saana

neemacizungu
Автор

Nabarikiwa sana na ujumbe mzuri wa nyimbo yako barikiwa sana na Mungu alie kuumba

ElizabethJohn-zc
Автор

I remember my mum in heaven when I listen to this song..wish I could just talk to God in some type of way that I can be filled with answers I need.i shed tears because I feel like I'm in the right spirit 😭 miss you mom

sandrascarlet
Автор

Février 2025 j'écoute en longueur de journée ❤❤❤❤❤❤

mkkm
Автор

Mwenye alihimba hii wimbo BELIEVE me.. mungu alikuwa producer wake😍😍😍

alexdingo
Автор

Finally the video is here....wapi likes za neema aki

joaniteblessings
Автор

Today as i write down... I have made peace with my inner self and the living God🙏🙏🙏

loureen-sd
Автор

This song deserves million views.. It's so amazing

cmpacomplex
Автор

nasikilza nyimbo hii iliyojaa upako wa roho mtakafu... sema nam bwanaa 🙏🙏🙏🔥 sema na moyo wangu ooh halleluyah...

tinohmicky
Автор

Ubarikiwe Neema, huu wimbo umekuwa ukinisogeza karibu zaidi na Mungu kila wakati.

neywilly
Автор

Mungu akubarki Sana dah Ila kuongea na yesu jamani na ukiwa nae jirani raha sana

regnethmtemanyongo