Anapindua- Neema Cizungu

preview_player
Показать описание
#love #trending #worshipmusic #music #gospelmusic
anapindua - Neema
karibuni sana marafiki na wapenzi wangu ninayo furaha kubwa sana kuleta wimbo huu wa ushuhuda wa maisha ya mtu mmoja alie pitia taabu kubwa hadi kujichukia lakini Mungu mwaminifu alimtoa kwenye shida hiyo na sasa wote waliomtukana kwajiili ya mapito wanaona waziwazi namna Mungu anavyo zidi kumtetea na kumuinua

na wewe yawezekana unapitia pito gumu sana maishani mwako kiasi chakukata tamaa nakutia moyo usiogope Mungu yupo nawe hata kuacha hadi uaibike atasimama na wewe na utaona utukufu wake na kushuhudia atakavyo kujibu

unaweza wewe mwenyewe wasiliana nami moja kwa moja kupitia number zangu za simu
au unaweza acha comment hapa chini ya video hii nakuacha number zako ili kuwasiliana
ubarikiwe sana na Mungu azidi kukuinua sana nakukutetea maana ni ebenezer

adui zako waone kwa macho yao Mungu akikuinua, hatufanani jamani tuche kwikwi tupendane jisikie ku relax na baraka za Mungu ziwe juu yako
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wouw 😍! Ameen ameen ameen ameen ! Iende mbele injili ya Yesu! Ubarikiwe sana

azizaclotildebangwene
Автор

congratulations neema this song has made my house to be on fire 🔥🔥 wen they start dancing, I'm so happy keep it.

serraphegarrosykasempele
Автор

🎉❤barikiwa dada wa taifa. Nyimbo zako zina ni totals moyo kila siku🎉

JulesBuseyi
Автор

Nyimbo zako zinani bariki sana my sister, keep it up🙏

nancyjangu
Автор

Ubalikiwe sana mama Mchungaji kwa wimbo mzuri

jeremiahbulenge
Автор

You nelt it neema keep the fire burning on the gospel ministry.

serraphegarrosykasempele
Автор

Amère. Yesu anapinduwa Mambo, apinduwe Mambo wangu

romainealinda
Автор

Ni kweli anaipinduaka kabisa, ameeen ameeen da Nene.

marifaadolphine
Автор

Mungu akubariki sana kwa huduma yako ya uimbaji, huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako mpendwa. Natamani pia kuupata ule wimbo wa sadaka za sifa.

rehemamwampashi
Автор

Why am I coming across this song now 🔥🔥🔥

orinavane
Автор

Mungu wetu ana pinduwa mambo kwa ukweli, ubarikiwe Dada mpakaliwa mafuta wa Bwana.

rubingoibulisho
Автор

Kweli Mungu wetu ana pinduwa mambo.ubarikiwe sana Dada.

rubingoibulisho
Автор

I just love you mummy 😍😍😍 live long for gospel ministry

lynnemelline
Автор

Anapinduwa mambo kweli MUNGU akubariki sana servante de Dieu
Wimbo muzuri kweli

souzannahchombeofficiel
Автор

Ubarikiwe dada yetu @Neema Cizungu 👏👏👏👏

kabugachristopher
Автор

Utukufu wake hauna kikomo juu yetu nakupenda neema wangu

everjohn
Автор

Asantee Mungu wangu umepindua Mambo ktk maisha yangu viapo vyao umegeuza

monicandengo
Автор

Amen MUNGU aibariki iyi uduma . Akama amta jali naitaji number zenu . BASI MUNGU awabariki

evzawadiofficial
Автор

Nabarikiwa saana na guy wimbo.Ubarikiwe mama

puritarimo
Автор

Mungu aendeleye kuku tumiya kama chombo lake ma chérie ubarikiwe zaidi

joliekamate