Neema Cizungu-Nashuka

preview_player
Показать описание
neema cizungu -Nashuka
Shalom watu wa MUNGU nawatakia baraka tele mnapo sikiliza wimbo huu
msikose kuwasiliana nami# +255782078009#

huu ni wimbo wa maabudu ,na biblia inasema kuabudu kuna wapasa wanyofu wa moyo
Mungu awabariki na mwendelee kuabudu pamoja nasi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nabarikiwa Sana na nyimbo zako dada, hakika una mafuta ya roho mtakatifu ndani yako, Mungu akulinde akutunze pamoja na mume wako na watoto wenu, nawapenda.. from tz

annajustin
Автор

Utabaki kuwa Mungu katika ali yangu yote ya maisha ninayo pitia najua unatuwaziya yaliyo mema Mungu awalinde nakuwabriki

monucesthela
Автор

Mummy you really don know how much your music bless my soul when l listen to them 🙏💖 l am blessed you are true worshipper of christ you are a blessing to the next generation 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤲🤲🤲

Phiphi
Автор

You are blessed, more grace and favour from God.

engineersasitaaron
Автор

Hallelujah hallelujah hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo nimeusikiliza Kwa makini kuna kitu nimejifunza asante MUNGU 🙏🙏

coolwaveac
Автор

Mungu wa mbinguni akubariki wewe na familia najua Matokeo ya kazi hii ni kwa sababu familia na jamaa zako wanajitoa kuhakikisha kazi ya Mungu inakuwa nzuri na ubora wa hali ya juu. God bless you... I appreciate you na huwa nabarikiwa sana na jumbe zipatikanazo kwenye nyimbo zako. Tunakuombea un yenyekevu na hekima juu ya Huduma yako. Nakupenda mjoli wa siku moja uwepo aridhi ya Tanzania utuhudumie tutafurahi sana

Cado_TV.
Автор

Hallelujah hallelujah we ni mungu wangi Yesu wa mililele

jamilairakoze
Автор

Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako Zina nibariki sana Mungu azidi kukuinua Kwa utukufu wake.

lazaroonyango
Автор

Mungu wa aliye hai Mungu wa viumbe vyote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe, Mungu wa maagano Mungu muweza yote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe. Bado natakasika. Mungu akubariki

elizabethmwasampeta
Автор

Mwaka huu baba nashuka mbele zako ili uniongoze 👏🏽👏🏽

esthelamonica
Автор

Mungu wetu ana stahili sifa na maabudu ya kutoka kwetu. Hâta Nami nashuka ubarikiwe dada

miryamasha
Автор

Upo zaid ya wote unanyimbo zuri zaid hzi nyimbo ulizo ziludia nazipenda toka miaka hyo asantr sana. Tumludie Mungu na karibu roho. Mungu awe nawe kila mda usije teleza wala kupatwa nabaya siku zote

phillipngumbuke-leey
Автор

God bless you mum.your songs are very torching.haswaa nakwangalia wewe.

Trhghjj
Автор

...kila siku nazidi kukufwatilia na kuzidi kubarikiwaa,
Dada Mungu akupe Njia Dhabiti

tonotvonline
Автор

Wow my favorite song God bless you my sister Nely. Mavumbini ndo palikuwa mahali pangu ni kila nala vumbi kulala kwenye mavumbi asante wewe ni Mungu wangu acha ni kuabudu

furahabusanga
Автор

Ubarikiwe sana da nene Mungu akuinue zaidi 🙌🙌🙌

deborahwareme
Автор

Amen, Mungu akubaliki Mama, pamoja na familia yako Baba awalinde Asante sana .

muhawenimanajeannine
Автор

Amen dada nakuwaga nabarikiwa niksikiya nyimbo zako

MauwaMasoka
Автор

oh Yesu acha nikuabudu wewe ni Mungu wangu. hakika sijajutia kukujua Yesu.barikiwa dada Neema unanibariki sana

ilvgod
Автор

Uko rait mungu yesu yesu ndiye mungu

periskusena