Harmonize - Yeye (Official Visualizer)

preview_player
Показать описание
“Yeye” Is A Powerful And Vulnerable Expression From Harmonize, Diving Deep Into The Emotional Highs And Lows Of Life From Moments Of Pain, Addiction, And Loneliness, To A Profound Realization Of God’s Unfailing Love. The Swahili Word “Yeye” (Meaning “Him”) Refers To God, Who, In Harmonize’s Words, Remains His Only Constant When Everything Else Falls Apart.

Blending Soulful Bongo Flava With Heartfelt Lyrics, Harmonize Opens Up Like Never Before Sharing How Temporary Pleasures And Human Approval Left Him Feeling Empty, But How Faith And Divine Connection Brought Him Peace And Purpose. Whether Facing Rejection, Debt, Or Even Thoughts Of Death, He Finds Strength In Knowing That God Never Turns Away.

This Track Isn’t Just A Song It’s A Testimony. Honest, Raw, And Beautifully Melodic, “Yeye” Speaks To Anyone Who’s Ever Felt Lost But Held Onto Faith. Harmonize Invites Listeners Into His Personal Journey, Reminding Us That Even In Our Darkest Moments, God’s Love Shines Brightest.

Harmonize - Yeye (Official Audio)

Produced By; Kimambo
Mixed By: Cukie Dady
Directed By Ivan Created

Follow Harmonize

Verse Network Tanzania

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

#Harmonize #Yeye #KondeBoy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mbona mimi kwenye nyimbo za harmonize sijawahi kupata like hata moja 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

JoaoGabrielJoao-qj
Автор

Mbona mm kwenye Nyimbo za Harmonize sijawahi kupata like hata moja😂

MATEOJOSEPH-ncgf
Автор

Mimi ndio shabiki yaa harmonize Kenya wakipeke like zangu ziko wapi

fifunnyboy
Автор

Kaka leta chuma tuwapiku diamond na Mario Tena ikibidi tukae trending number one🔥

Nilynax
Автор

Dem yangu kanambia mkinipea 1k likes, atanitunuku mzigo... wapi likes za kondee❤❤❤

smartkilla
Автор

Jamaaa anapingwa sana lakini Anajua sanaaa much respect broo

Mustafakarl_tz
Автор

LEO NIMEKUWA WA KWANZA 🏆🏆 NAWATAKIA PASAKA NJEMA MUNGU AWABARIKI 🙏🫂 LIKES HATA 10 ZITANITOSHA

jofreyburton
Автор

Umegundua kitu hii haina Bombooclaat, naomba like 100

maishamapenzimikasa
Автор

Good song ! I was suggested here while listening to the song “Dupe - International” 😅😅

Stoner-Thangs
Автор

Harmonize wa siku hizi ni mkali kuliko wa kitambo I swear

princeyobie
Автор

Wakenya pitieni apa na likes kadhaa kama umependa hii nyimbo, more love from Kenya, , 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mzhooshdelegend
Автор

Hivi mnajua ifikapo 2099 wote humu tutakua tushakufa tujitahidi kufany ibada 🙏

husseinhemedi
Автор

Kama w n family ya konde please 🙏 naomba like 10 tu

StarGwanta
Автор

Mbona hata mimi kwenye nyimbo za harmoniza sijawai kupata hata like moja na walio okoka 😂

AdelaJux
Автор

HARMONIZE is A (G. O. A. T) of this generation nipeni like zangu chapu sio ombi

PhallonieSichali
Автор

I don’t care atakama wakinichukia kwajili yako, atakama kwenye madeni wakinidai utajibu wewe☝🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏾❤️❤️❤️

NdikumanaJacqueline-tc
Автор

Si ata nyinyi mnazidi kuona kila siku kuwa ubishi ulifika mwisho.Harmonise yupo freshi kabisa katika utunzi.Weka likes.natokea chuga huko kenya

morganmachairi
Автор

Siyo aliye okoka mbinguni atafika Ila konde 😊😂 Big Love from RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi.

Thomaskarama
Автор

Sasa hii tofauti ya DIAMOND na HARMNIZE. Diamond hii level hatawahifika. ALI KIBA ako league tofauti none of these two wanamfikia

MultiBarberry
Автор

itoshe kusema Harmonize Ndiyo Msanii mwenye Mashairi na Mtunzi bora kwa Tanzania, Diamond Platnumz atabaki kuwa Msanii Mkongwe na Mfanyabiashara lakini si Mbunifu kama huyu Bwana. To be honest Harmonize Anajua kuimba, hii sisemi kwa Ushabiki wala nini.

SuzyMikeTZ