Harmonize - Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)

preview_player
Показать описание
Harmonize - Sherehe (Official Audio)

Produced By; Kimambo

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

#Harmonize #Yangabingwa #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kuazia Leo nitakuwa shabiki wa harmonize

what a song🔥🔥🔥

isacklungu
Автор

Mueshimiwa konde we noma kabisa wakuache tu umeshakamaliza yaani talent yako sijuwi niseme nini, ila wimbo wako mzuri Sana

Steven from south Africa 🇿🇦🇿🇦

STEVENM.G
Автор

Yaani kila tukishenyetwa😢nakuja kuangalia hii nyimbo
Dah 😫 yanga yangu nakupenda hivyo hivyo
💛💛💛💛💛💛

ReginaLubaja
Автор

Kama unamkubali HARMONIZE weka like na kama wewe ni YANGA weka like pia

mashabikiwaharmonize
Автор

wa kwanza kutoka unganda nipeni like zanguuu🙌🙌🙌

AnthonyDenice
Автор

Tuliorudià mara mbili kusikiliza gonga yangaaaa
💛💛💛💛💛💛💛

matridaboniphace
Автор

wa kwanza kutoka kenya nipeni likes banaa❤❤ tukisonga #harmonize

Lyricskenya
Автор

Wametoa nyimbo nyingi ila zote zimezimwa na ngoma 1 jeshi🔥🔥🔥🔥🔥

PASCHALPETER-gpek
Автор

Kama umeangalia izi game mbili za yanga alafu umekuja kusikiliza aka ka song gonga like hapa

AirtelZnzbr-urff
Автор

mi simba ila uongo dhambi jamaaa kaimba vizur , 🔥🔥🔥🔥🔥

dgochuibra
Автор

Team ninayo ipenda ni Young Africa na Harmonize kanikubalisha zaidi. From +257

nsengiyumvajules
Автор

kumamake uvumilivu umenishinda huu wimbo mkali mtani

edwinemoit
Автор

Huyu mwamba anajua kuimba sio mchezo. Wimbo ni mkali balaa halafu hajatukana mtu wala kutaja timu nyingine kwa kejeli. Konde boy Harmonize nini umemeeee.
Like za Konde boy hapa wanangu.

israclassic
Автор

Mimi ni Simba official lakini nimeipenda hii nyimbo, , , tujuane wanasimba tulikuja TU hapa kwaajili ya hili goma

hassanaliamin
Автор

sana!!!...Yaani me Kutoka Kenya Lakn Naskia Kuishabikia Yanga Tayari🎉🎉

sharomkalimani
Автор

Kenya tunekubali Yanga yote sote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

WhiteMediaKenya
Автор

Tunao rudia jamni tujuwaneee 😂😂 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🔥

aishabakari
Автор

Nimerudia zaidi ya mara kumi kuangalia hii ngoma kali sana aisee
Konde Boy una kipaji kikubwa sana aisee

BrayanKayanda-upym
Автор

Nimefika mkongo wa Congo like zangu ajili ya harmonize tz❤😮🎉

Zuchuofficial_k
Автор

Konde boy, umetisha sana, utulivu mkubwa sana ktk hii ngoma nzur iyoooo

RosePetro-ckpt