JAY Melody - Wenge (Official Video)

preview_player
Показать описание
#Jay Melody#Wenge

Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2019

Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody has made is easy for him self in the music industry by being able to portray his street spirit in his music

enjoy his new music
connect with Jay Melody

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kakaangu hapo napo uliwez weeuh mbona hii nyimbo naipenda ivi 🎉🎉

FurahaJeffa-oubb
Автор

Yanii hinyimbo kila siku kazini Inapigwaaa Ilasasakujunani waminikomaaaa mbonaaaaWiiii Love

hawahawa
Автор

Sina usemi mm yani zaidi ya mara kumi natundia tu😍😍😍😍

binesiharun
Автор

Ngoma kali sana sema umenichosha umeikimbiza sana ila kuandika huna mpinzani bongo hii

ikerfrank
Автор

11days to new year 2024 but the song still rocking

musakaphu
Автор

Broo ulicho kiimba kimenikuta mpaka nahisi umeniimba mimi big up sana mungu akuongoze salama

KIKAHOBUILDERSCOMPANYLTD
Автор

Tanzania pagumu Sanaa, yaan wimbo km huu Ila watu hawaelewi! Watu wanapenda kusikiliza matusi dah😥😥😥

boyjopar
Автор

Aki nimepatana na hii nyimbo na nimeachwa Jana 😮😮😢

ZabibusuphianialisuphianiAlly
Автор

Haina comeback mpasa sahii 2023 ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

kamalsoud
Автор

Jay melody fanya kazi na harmonize, Asanti

josephwanyoike
Автор

Nampenda huyu kaka jm my favorite song😍😍😍😍😍😍

starsbay
Автор

Hizi ndo nyimbo sasa

Sio zile kushoto kulia mara chuchumaa cjui mara pepeta,

Yaani sasa ni aslay, mbosso, jay melody na marioo mnakimbiza sana 🙌🙌🙌🙏🙏🙏

robertjagad
Автор

Yani hivi watu hawaskizi wimbo kama huu jamani? This boy can sing 😘😍mpeni support bwana wee! Hussein machozi alisema kweli kuna watu wanavipaji sio mmoja tuu!

rehemahussein
Автор

2023 kila nikiachwa hii nyimbo nakuja kuisikiliza😅💔🙌🏾

ayubuamsonjr
Автор

"mapenzi ndo haya" 💓💓💓
#Jay ww nimeiskiliza zaid ya mara 3 nyimbo tamu sana, big up from 🇿🇲 + 🇹🇿

sajidabakari
Автор

Muko wap tunaoangalia 2021 tujuane nampenda sana

mwajumamkupete
Автор

Hi nyimbo iko saf na ndio naama naipenda kusikiliz mashail yak y ndio yananikoshag

choyosamli
Автор

Daahh we jamaa unaimba bhana mchezo kandoo ipo cku dunia itatambua kipaji chako usikate tamaa usiwe kimya sana

AhmedSalah-ries
Автор

Daah sijawahi fiksha ata like 20 ila kwa hii ngoma najua ztafika tu gonga like tumsapot mlali

youngmasta
Автор

I love dah bonge la song dah kwenye sea piano ni vurugu yaan unajua kuimba mpaka vinakera

haniliciousbaby