Jay Melody - Zeze (Official Video)

preview_player
Показать описание
ZEZE - JAY MELODY Its on all digital platforms

Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody has made is easy for him self in the music industry by being able to portray his street spirit in his music

enjoy his new music
connect with Jay Melody

#ZEZE #JayMelody
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

hii ngoma Kali sana sema awajui music mzr watu kusapoti zezeee Kali sana.

eliarichard
Автор

@Jay mellody ww nyoko sana hii ngoma nikali sana mzee baba apa sasa ndo umebeba uwalixia wa jina lako

darasahuru
Автор

uko vzr kumbe umetisha sana shabiki yako mpya mm melody jay.

eliarichard
Автор

tz ni amsha pop Gonga like za kushatu ata kam si mtz we mwenyewe siunaona drums izooo!

lazaroclavery
Автор

Unafanya kazi nzuri na bora hongera kwako....

richardkwayson
Автор

Napenda uandishi wako..ndoto yangu ni siku moja utakua mwandishi wa kazi yangu.Good work!

STACY_KENYA
Автор

Remix chid Benz inamhusuuu kwa hz njia vuta picture ile collabo na mzee yusuph raha za kama unakubali like hapa

nurdiniselemani
Автор

amaizing, nice song jamani anaesoma comments nakusikiliza nyimbo . NGONGA LIKE YAKO HAPA

asharamadhsni
Автор

Waah ...sauti imetulia!!!! Tuacheni utimu jamani tukusanyike hapa tu support mziki wa jay melody....Kenya tumekuelewa

charitymnyazi
Автор

Jay melody rudia hii nyimbo tena very much sure itahit sana nimetafuta sana hii nyimbo for 4yrs sikua najua ni nani ameimba I love it ❤❤❤ all the way from Kenya

faithkonga
Автор

Bonge la ngoma mwanangu..uko fitiii...nakubalii...achilia vituuuu

msellemseif
Автор

wow bro sauti yako wow wow wow i love it😙😘😘😘

ayshunamir
Автор

Unaimba vzr sana we kaka...nakupenda nataka uwe unaniimbia kitandan zeze...hahaha natania but mekukubali

RynlizzyTheBoss
Автор

Mwenzenu saut tu m hoi, naipenda xan saut ya Jay🙌💋❤

lovenesreuben
Автор

Wow it's touching much love Jay from Kenya 🇰🇪, , , I am in love with the song

RugerLeah-zqic
Автор

Hii ngoma naikubali balaa nashindaga kila siku nikiisikiliza 😘😘😘😘🤣

glorykisanga
Автор

I heard this song in 2019 for the first time in a matatu and i fell in love with it.. have been searching for it and i finally found it

Jenner_warau
Автор

Mbona mm kila ngoma ikitoka nakuwa wa mwisho piga lk ww

yunusiselemani
Автор

Unyama Unyama mpaka waseme NDIO wamekubali jay melody let's

ammarsalah
Автор

Nice jay Melody ngoma imetulia mkaka 👌👌👌

sureladykiba
join shbcf.ru