MISSION IMPOSSIBLE [17]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Chado masta umetisha sana blood, , napenda kazi zakoo... Movie ni Kali ubunifu and more things... Nimekuwa first leooo

willyobiike
Автор

Chado Chado Chado Kitengo story kali alafu ngwengwe na mamaako umejua kuwatumia na wamejaa kwenye mfumo big up

SangaliPower
Автор

Nalipendaga ill song linalowasindikizag chado na najma I like it❤

NasraSaidy-wlte
Автор

Gwegwe na mama hake wananichekesha sana.maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

DianaMkembelwa
Автор

Mshajaaa huku in 1 min kazi nzuri alafu huyu dogo kajua kurap aky ila Anifa kiboko yao huyu dogo anapitia kuchunwa 😂😂🤣🤣

DamarisDammie
Автор

Chado master ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 . hongereni wote wahusika

ZenaMsengi
Автор

Watazamaji wa hii movie weka like kwa chado masta 🎉🎉🎉🎉

RehemaSaid-rh
Автор

Kachad nakupend san hunaga mbamba kaz huchlewesh mapem mzenj ap ❤❤❤❤

NasraFahmy-jy
Автор

😂😂😂 big up sana dogo ngwengwe umetisha kijana upo vzri.

mwinyihajjsalim
Автор

Naona saivi kuomba omba like make naona mmepunguza toeni maoni kipi aongeze apo nakubali❤❤❤❤

SelemaniIddy-ncnf
Автор

Kama unampenda ngwengwe achi Saini yako

DommyJohn-wvbh
Автор

Chado peti peti mtoto usimpele resi Kama mshangazi😂😂😂😂😂 ngwengwe on fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

hamadibodo
Автор

kaka hii Iko fire 🔥 sana zaidi ya zilizoisha nampenda kidemu jau balaaa au uniachie mm maana ww anakuletea maluweluwe tu

MR_RAMSATZ
Автор

Jmn muendelezo uje Kwa harak jmn move Kali San

MwajumaSeif-rykt
Автор

Chukueni tumaua twenu 🎉🎉🎉 ila na Mimi mnipe tulaiki twangu tafadhari

AishaHussein-svvk
Автор

Jmn ngwengwe mmbea nyny htry anaskilza too umbea kaz nzur san chado umetisha kinyama

mwanahawabedui-ck
Автор

Chado na team yako mashaallah tabaraqaallah kwa kazi nzuri sana jamani maua yenu ndugu zangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kutoka kenya 🇰🇪

Khadijah-pv
Автор

Kwa kweli nawapenda san from Zambia 🇿🇲

MamadembeleLadouce
Автор

Kweli wewe ni chado masta huyo mtoto anajua mpaka anakela nampenda sana❤❤❤❤❤

ScholaMalale
Автор

Ilo Jina la uyo mtoto Kwanza limeniacha hoi gwegwe hatari kafanana Na Jina lake

MayaKhairun