MISSION IMPOSSIBLE [23]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo kuchat ndo i like....nipo kujibu coment

Chadomastafilm
Автор

Ka chado nakupenda ❤❤❤ mzenj ap honger ten honger unawez as mung akuzidixhie zaid ya ivy

NasraFahmy-jy
Автор

Safi kabisa timu nzima ya chado kwa kazi nzuri Kwakweli toka nianze kuangalia hii move haijawahi kunichosha ila kinachohitajika ni kuongeza muda ata kidogo ili tuzidi kuinjoi mungu awasimamie muweze kufikia malengo ✌️

Afroman
Автор

Daaah hii movie nachekaa mpaka nazimia dadekiii chado wee noma baba 🙌🙌🙌

MwanahamisSeifu
Автор

Kazi nzuri sana bwana chado pokea Maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤

BothainaBothaina-kc
Автор

Chado dah kazi nzurii Sanaa brother toa ep inayofuata leo hii

RashidiMwegelo
Автор

Wallah jina la film lanasadifu yaliyomo jaman mission impossible ndo I like next please😅😂🤣

JacklineIsay
Автор

Hiyo kujichanganya kwa kina bonge na cheusi me ndo i like 😂😂😂

RubyMohammed-cqcj
Автор

Oyaa masta chado mtie na nagwa kwenye hili tambalaa....uyo misumali hamuwez nagwa

PeterNkondokaya
Автор

Sema mwanang anaupiga mwingi sana yaani kila siku laazima aachie kipande✊✊✊✊

EkronMasilu-dj
Автор

Hii nayo imeisha araka aje bwana... wow ❤❤❤❤❤

YeriKahindi
Автор

chado unamuogopa uyo mlembo!piga misumari❤❤❤❤

zuluRaphaelItangishaka
Автор

Huyu Askari nae kila siku mbio kiguu n njia mhh😢😢 ahhhh

HalimaKharoub
Автор

kama umecheka kama mm baada ya kuskia maneno ya mama ngwengwe akimshangaa asikari kuitwa chenga gonga like

Yesunijibuu
Автор

Kazi nzur ❤️❤️ dodosha like kama unampnda chado🔥🔥

hashramohammed-sixj
Автор

Mr chado mimi nataka hiyo ngoma babu. Inanipendeza sana. Nitumie babu chado masta❤

chris-bkazaka
Автор

😅😅😅 sema cheusi anazingua kinomaaa like zake jaman

shivobs
Автор

Sisi niwale getoni mavitu

ako kawimbo nimekapenda chado😢😂❤

PendoMenganyi
Автор

True love from kenya🇰🇪🇰🇪 chado, , , , bado nafatilia mchongo 💪💞

dainty
Автор

Oya cheusi jau sana mwanangu umetisha sio kitoto

Mabangi