Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 05/09/2024

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani wanawake, mtu akiwa katili hawezi kubadilika. Ondoka mapema kabla fikira yake haijajijenga kuwa wewe ni Mali yake. Pia hawa wanariadha waache mahusino na wakenya, hamieni kwa wazungu, huko mnakoenda kukimbia mtakutana, maana sasa wanaume wafrika wenzenu wanawateketeza.

vanessastafford
Автор

hayo magonjwa natuletea wenyewe kisha wanatuuzia dawa. jmn AFRICA tusipo amka tutaamkiwa tena tutakuja kushituka tumeshaisha

iSsaNyamaisa
Автор

Kwanini Africa tusitengeneze dawa zetu wenyewe. Yani nikitu cha kushangaza ugonjwa unatokea huku kwetu halafu tunaletewa dawa kutoka nchi wanachama, ndio maana hata kuletewa dawa zisizo sawa nirahisi kwani hawa tumii wao hata ubora wa hizo dawa niwa mashaka sana

tumainiamani