Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 13/08/2024

preview_player
Показать описание

#BBCSwahiliLeo #Mpox #Homayanyani
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tanzania siwo kenya uhuru na odinga kusumbuwa Amani Sasa mwenye akili tu wanaona hili Tanzania bravo Sana Amani ilinde daima.

alfredmhana
Автор

Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia, duu Mungu tuepushie hili

xcvfttz
Автор

Ni nyakati za mwisho. Hayo yote yalitabiriwa. Tubu dhambi zetu, Kwa maana YESU KRISTO yuarudi.

tuyisengetheogene
Автор

Ccm, Aibu tupu.hawana neno la kushawishi wananchi, kwa sasa.

ezekielezekiely
Автор

wazungu wa washa tuletea leta gonjwa jipya wanataka pesa zetu au watudai wapenda kututia uasikinu jamani tuwe makini sana na watu hawa tuwe makini sana wapo ingia africa

BabyCleaver
Автор

Lulu amesema vizuri, Kutumia muda kukujifunza technologia badala ya umbea.

hawanzota
Автор

Na kwanini mnakula chakula mlicho haramishiwa na Allah kwani mlivyo halalishiwa vimekwisha?

ImanSaid-oxpo
Автор

Innalilah wainnalillah rajuun waache kula nyani nao

azizally
Автор

Ubalozi wa marekani unachangia nini kuhusu mambo ya ndani ya nchi za watu.
Lakini mpaka yatufike kama ya kenya ndio watakaa kimya.

scoutpwanimchangani
Автор

Wapinzani lazima wafahamu kuwa nchi ya Tanzania ni nchi ya Amani sana. Wakija kuichafua watajibu

scoutpwanimchangani
Автор

Homa ya nyani tatizo limeanzia DRC 😢😢 Ilikua ebola sahv ni homa ya nyani magonjwa ya kutengeneza haya ila wazungu sijui wanatakaje wanataka kuipeleka wap dunia

MursalLusinde
Автор

Waaafrika tunakula nyàma pori sanà.na watu wengi wanakula NYANGI..hasa afrika ya kàti..Kongo wañakula Hadi popo wakubwa..wañakula sanà minyama pori

nvwtnxh
Автор

Police endeleeni kufanya kazi zenu. Mukiona tu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani musiruhusu kufanya jambo lolote.

scoutpwanimchangani
Автор

Tanzania hakuna siasa kuna uwonewaji wa watu kupitia kivuli cha siasa 2 mbona CCM wanaendelea kufanya makongamano mbali mbali wao ndio wenye tz 2

AlkafaaMarket
Автор

Majamaa wa nje .wali tengeneza covid19 ikawatafuna sana .walikuwa wakitegemea sisi weusi tutakufa kama madudu.sasa wame tuletea Magonjwa kali ili tufe na sisi.

MutulaSafari
Автор

Ungonjwa wa nyani (MPox), chanzo chake ni nini? Umma, uhamasishwe haraka iwezekanavyo ili tusipoteze uhai wa watu wengi. Mbona madaktari na wanasayansi wa kiafrika hawawezi kufanya udadisi na utafiti wa haraka ili wapate suluhu za kudhibiti hayo maradhi ya magonjwa ya Nyani?

afrakanaswahilitv