Matangazo ya Dira ya Dunia TV

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Subhnallah Mzee yusuf umefikia kusema daawa zimekwisha??
Maisha ya dunia tunapita tu pumzi isikuhadae

AhmedAli-xkcv
Автор

Mzee Yussuf Kumbuka Dunia Hadaaaa Ulimwengu shujaaa

AleiHadji-jsed
Автор

Vijana walio pevuka kimkakati na MAONO makubwa Kenya's youth receive love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

GadiEdiomwakanyamale
Автор

Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi
rajiuun...Allah amuongoze.yeye pamoja na sisi maana amesema
aliemroga anaamini
alirogwa kuwacha mziki
sio Mungu alimpenda
akataka kumuongoa
Shetani kamzidi nguvu
kamrudisha kule kwenye
maasia.. huachii ndio kazi
kuna na kufa (mzed yusuf)
Itaqillah muogope Mungu

Ukhtyzuhura
Автор

Brave vijana wamezungumza pakubwa ndo kizazi kamili hongera kesho ni leo

CalistEvance
Автор

Hawa ma-youngs wa Kenya they very smart kwa mind zao✊️👊

saimonseleka
Автор

Selikali za Africa nikatili saana hazijali kabisa watu wake 😢😢😢

nbyhbny
Автор

Pole sana chujaa, Rex na pole sana kwa familia.

peternboss
Автор

Upuuzi inachunguza wakati iko wazi polisi wameuwz

labunaabouna
Автор

Imagine, wabunge wetu ruto Ali waambia ata wapatia 200m dio wapitise mswada huu tata, ,

peternboss
Автор

Hawa vijana walikosa kupiga kura kwa wingi. Sasa wangoje hadi uchaguzi ujao. Na wajitolee kwa wingi. Na watumai wizi wa kura hutakuwepo. Kushindana na serikali ni kama kupiga ngumi ukuta.

danwayne