filmov
tv
MAPYA YAIBUKA KESI ya MBOWE, SHAHIDI KUTOKA TIGO AKANA KUMFAHAMU MBOWE MBELE ya JAJI...
Показать описание
MAPYA YAIBUKA KESI ya MBOWE, SHAHIDI KUTOKA TIGO AKANA KUMFAHAMU MBOWE MBELE ya JAJI...
Shahidi wa 5 upande wa Jamhuri, Fredy Kapala (38) mwajiriwa wa kampuni ya TIGO ametoa ushahidi wake leo akiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi Nassoro Katuga.
Shahidi ameieleza Mahakama kuwa yeye amekuwa mfanyakazi wa TIGO tangu mwaka 2012 kama mwanasheria wa TIGO, huku majukumu yake yakiwa pamoja na kushauri maswala yote ya kisheria, kutengeneza, kusoma na kupitia mikataba, kufuatulia na kusimamia kesi zote zinazohusiana na kampuni, kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na mahakama kupata nyaraka au taarifa mbalimbali za wateja ambazo zinatakiwa kutolewa kama ushahidi.
Shahidi ameeleza kuwa Julai 2, 2021 alikuwa ofisini kwake na akapokea barua nyingi ofisini kwake na barua mojawapo ilitoka kwa kamishina wa upelelezi wa Kidayansi wakihitaji taarifa za namba ya mteja 0719933386.
Barua hiyo ilikuwa na maombi mawili ombi la kupata taarifa za miamala ya kifedha ya namba hiyo tajwa na pamoja na KYC ambazo ni taarifa za usajili wa namba.
Shahidi Fredy anaeleza kuwa kwenye barua hiyo aliombwa taarifa za miamala iliyofanywa na namba hiyo kuanzia Juni 1 hadi Julai 31, 2020.
Baada ya kuzipata taarifa hizo aliwasilisha cover later, barua ya Kamishna, miamala ya kifedha na taarifa za usajili kitaalam KYC.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ OUR PLAYLISTS:

Комментарии