Bright - Bila Mungu Sitoboi (Official Music video)

preview_player
Показать описание
#bilamungusitoboi #bright
Audio produced By S.M.G & BRIGHT
Video directed by DIRECTOR_JAPHETH
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Vita nikali, mishale yote imenyoshwa kwangu.
Wangapi wamesikia hio point.
Gonga like hapa

albertbyendatv
Автор

Kiu halisia huwezi kutoboa bila Mwenyenzi Mungu.

sknapoleonshoo
Автор

Angepita Kontawa humu ilikuwa balaa zito

victorcephas
Автор

Keep your mind set💪💪💪 umeimba uhalisia tuuu.. BILA MUNGU SITOBOI HATA MIMI..#manyoyamusic

Miunokunoga
Автор

Wimbo mzuri sana wewe ni msanii wangu toka kitambo sana nimemuona wimbo wangu pendwa

shaushaibu
Автор

Mwana aje aje nimeipenda mdundo ujumbe Kila kiTu kipo shwareee nimeipenda

edenbettnasibuziege
Автор

Fanya hata ngoma 3 zaidi ya hapo amini utafika mbali.

LehanaBanda-ufwh
Автор

Mungu mbele sisi nyuma, Yeye ndie kiongozi wetu🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

shouayzieomar
Автор

Melody mashairi Head voice chest voice zote ziko poa aseeee huyu kijana anadeserve kufika mbali

BrysonMsonga-tsel
Автор

Marioo ndo alikupoteza na sio mwingine

saibabatz_
Автор

Bright mi nishabiki wako kuanzia enzi za Aibu' kazi nzuri bro💪 mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

ianshigali
Автор

Naipenda sana kbs, bila mungu atutoboi sote

BostondawaKhan-jbuy
Автор

Kaka wew ni fire naomba tufanye ngoma pamoja

kingswadata
Автор

Ukweli kabisa kaka bila Mungu ni noma, adui hana alama 🙏

kismatideboy
Автор

Massage nzuri sana big up bro bila Mungu sitoboi.

henrybovick
Автор

Wow this sod cut deep God bless your work 🙏🙏🙏

DontvRwanda
Автор

Sikupingi ndg mungu ndo jibu hakika bila mungu

lavatone
Автор

Naikubali hii ngoma. Message iko on point.

shabs