SONG OF FAREWELL PUMZIKA KWA AMANI MWALIMU STEVE LIMILA (BMMM YOMBO VITUKA)

preview_player
Показать описание
KWAYA YA BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU YOMBO VITUKA (BMM) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU WETU MPENDWA STEVE LIMILA KILICHOTOKEA ASUBUHI YA LEO.

TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUPE FARAJA YA KWELI NA UJASIRI KATIKA KULIBEBA HIKI. REST IN PEACE MWL LIMILA
Moja ya wimbo aliotunga marehemu ni MOYO WANGU ulioimbwa na kwaya ya bikira maria mama wa mungu inayopatikana yombo vituka
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

R.I.P Mwl.Limila, kweli ni uhuzun kubwa, nitakukumbuka kwa utunzi ulotukuka na umahiri wa kupiga mziki mtakatifu, pumzika kwa Amani

sundaychristian
Автор

pumzika kwa amani mwalimu Steven limila .Aise insuma lakini Mungu ndo anajua maisha ya kila mwanadamu hapa dunisni

celinerwentaro
Автор

Mwenyez Mungu Apumzike kwa amani Mtumishi wa wake but it's so panful

lydialivingstone
Автор

Raha ya Milele umpe Eeh Bwana. Apumzike kwa Amani.

lilianmachera
Автор

hakika ulikuwa mtu wa watu pumzika kwa aman😥😥😥

sultanrugome
Автор

mwanga wa milele umwangazie mlango wa mbingu mfungulie apumzike kwa amani, mtumishi wa Mungu Steve Limila

onesmuskakweti
Автор

mwalimu mwalimu...the latest song made me pliz call me back to this line, , , Nairobi +254770498449 , limila Mungu aipokee Roho yako Mbinguni, , , kwaya ya BMM YOBO MUNGU AZIDI KUWAFARIJI MNAPO OMBOLEZA MWALIMU WENU MKUU.,

charlesjkyallo
Автор

R.I.P Mwl.Limila, kweli ni uhuzun kubwa, nitakukumbuka kwa utunzi ulotukuka na umahiri wa kupiga mziki mtakatifu, pumzika kwa Amani

sundaychristian