filmov
tv
Pumzika Kwa Amani Askofu Korir - GSR Studio Singers
Показать описание
Pumzika kwa Amani ni wimbo maalum uliotungwa na kurekodiwa kwa ajili ya kumpa heshima ya mwisho Marehemu Cornelius Korir, Askofu wa Jimbo Katoliki Eldoret, Kenya.
Rest in Peace Bishop Cornelius Korir (Eldoret Diocese)
Recorded by GSR Studio Singers
Audio & Video by GSR Smart Sounds Studio, Nairobi.
Composer: Renatus Rwelamira
Organist: Andrew Mulama
Directed & Produced by Martin Munywoki
PUMZIKA KWA AMANI ASKOFU KORIR
{ Pumzika kwa amani Askofu Korir,
Wewe mpatanishi na mpenda amani } * 2
{ Umevipiga vita vilivyo vizuri
Mwendo umemaliza imani umeilinda} * 2
1. Sisi Wakenya tulipofarakana,
Ulisimama kama mpatanishi;
Viongozi wetu wasipoelewana,
Ulisimama kama msuluhishi.
2. Huko uliko utukumbuke nasi,
Utuombee tuilinde imani;
Na mwisho wa hii safari yetu sisi,
Utuombee tupokewe mbinguni.
3. Malaika wa mbingu wakuchukue,
Wakupeleke mbele mbele za Bwana;
Mwanga wa milele ukua-ngazie,
Upumzike kwa amani, amina.
Rest in Peace Bishop Cornelius Korir (Eldoret Diocese)
Recorded by GSR Studio Singers
Audio & Video by GSR Smart Sounds Studio, Nairobi.
Composer: Renatus Rwelamira
Organist: Andrew Mulama
Directed & Produced by Martin Munywoki
PUMZIKA KWA AMANI ASKOFU KORIR
{ Pumzika kwa amani Askofu Korir,
Wewe mpatanishi na mpenda amani } * 2
{ Umevipiga vita vilivyo vizuri
Mwendo umemaliza imani umeilinda} * 2
1. Sisi Wakenya tulipofarakana,
Ulisimama kama mpatanishi;
Viongozi wetu wasipoelewana,
Ulisimama kama msuluhishi.
2. Huko uliko utukumbuke nasi,
Utuombee tuilinde imani;
Na mwisho wa hii safari yetu sisi,
Utuombee tupokewe mbinguni.
3. Malaika wa mbingu wakuchukue,
Wakupeleke mbele mbele za Bwana;
Mwanga wa milele ukua-ngazie,
Upumzike kwa amani, amina.
Комментарии