TAZAMA CHANZO CHA KIFO CHA DIDA SHAIBU WA WASAFI FM/ALIKUWA ANAUMWA UGONJWA HUU/HUZUNI KUBWA

preview_player
Показать описание
#mayele #yangatv #alikamwe #azizki #hersisaid #live_ #msuva #yanga #yangaleo #yangasc
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante Mungu nipo Hadi Sasa ni Ukuu na utukufu ni wako tu Mungu

olivamtewele
Автор

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake liimidiwe amen🙏🙏🙏🙏

JanethDaniel-qv
Автор

Hatari kwa kweli tusijisahau jamani kifo hakina salam ALLAH amsamehe makosa yako

Grataaaaa
Автор

Innalilah waina lilah rajiuhuni😭😭😭😭mbele yake Yuma yatu mungu amlinde dada huyu na ampunguZie adhabu ya kaburi🙏🙏

AminaMussa-lq
Автор

Inallilah wainallilah rajuun hakika kila nafsi itaonja umauti Allah akupe kauli thabiti siamini jamn

saumbakar
Автор

Innalillah wainnailahi rajighun 😭😭😭 jaman hadi nimeishiwa nguvu Allah akupe mwangaza ktk kaburi lako jaman daah wallah mtihani 😭😭😭😭

FaridaIbrahim-tz
Автор

Inalilai wainalllahi lajuni mbeyake nyumayetu wote Safali moja 😢😢😢😢😢

ahmedaljabri
Автор

😢😢 inalilah waina ilahi rajiun 😭😭 siamin jmn mungu mkali
Mwenyez mungu atujaalie mwisho mwema kwakweli

NooratMkupasi
Автор

Innalilah M/Mungu akuondolee Adhabu y aKabri

rukiakyaka
Автор

Tumeshtuka 😢 sanaaa mauti haki lkn siku imefika .Alllah Amraham ampe Nuru ktk kaburi lake pigo kubwa wasafi na fans wake

aseelaisaa
Автор

Mungu amlaze mahali pema peponi dada dida ❤

mwaminiseleman
Автор

Mimi ni fan wake kutoka kenya 🇰🇪 naumia sana 😭😭😭😭😭 pole sana kwa familia

Mosetieunice
Автор

Mungu naomba uipumzishe roho yake mahali pema peponi

GraceMgeyekwa-nsru
Автор

Mungu ailaze roho yake mahala pema pepon ameen

KhalifaAlly-gt
Автор

Daaah wasafi ime boa san asa masha mshamu

YangaTamu-li
Автор

Innalillah wainaileh rajiun nimeshtuka nimeona amepostiwa fb

NajmaBarry
Автор

Sasa mbona heading na taarifa ni tofauti?

sharifally-mm
Автор

Shemeji yetu pumzika kwa aman, maana shetan wa yanga alikuwa anakupenda sana😢😢

MethodkifokaMethodkifoka
Автор

Kwakweli tumeshtushwa saana na kifo cha Dida. Tunamuomba ALLAH amsamehe madhambi yake. Na amlaze mahali pema. Poleni saana familia yake. Poleni wasafi FM.😭😭💔💔From Oman.🇴🇲

umfahad
Автор

Dah! Dida RIP, mungu ndo anajua Leo nilikupigia sn but ulikuwa unatumika.

Fatumarajabu-dx