KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR

preview_player
Показать описание
Please Subscribe to Njiro SDA Church Channel
Hii ni Official Youtube Channel ya Kanisa la Waadventista Wasabato Njiro. (Njiro Sda Church)
Ambalo pia ni Kanisa la Makao Makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Union ya Kaskazini mwa Tanzania.
Itajihusisha na Kurusha matukio yote ya Kanisa la Waadventista Wasabato ndani ya Kanisa na nje ya Kanisa la Njiro, pia utapata kuona Video za Kwaya yetu pendwa ya Njiro Sda Choir kwa Album zote ikiwemo KISHINDO CHA WAKOMA.

YOUTUBE:
INSTAGRAM:
FACEBOOK:
CONTACT: +255 759 219 376
@njirosdachurch6802
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Am a catholic and my husband is an SDA member. I swear i will join him soon. This song had moved my heart, soul, body and spirit. I like everything. Much more love form this side of the country.

rosenaliaka
Автор

Tunao tazama wimbo huu 2024 tupa like hapa❤❤❤❤❤❤😊

frankpablo
Автор

Kwakweli huu wimbo mtamu sana bwana mungu alitenda makuu 🙏🙏🙏🙏🙏💓💓💓

LucyKiyenze
Автор

Anyone watching this song in 2024 July God bless you. Much love from 254

musungukennedy
Автор

😂JAMANI 2030 TUKUTANE TENA KWA HII COMMENT MUNGU AKIWA UPENDE WATU ❤ TANZANIA 🇹🇿

charlesnyaluke
Автор

Kama unasikiliza hii wimbo bado juni gonna like tujuane tukisonga Kwa mungu❤

JacklineIreri-bcuo
Автор

Wimbo mtamu mno..hauchoshi kusikiliza..tupa likes kama umeukubali

daddybenny
Автор

Any one watching this song 2 August gongeni likes mkisonga hakika bwana anatenda makuu unapopoteza matumaini mtazame na uwe na imani praise be to God

EngrithKemunto
Автор

Who is here 14/2/2024...Sweet song, i listen it daily ❤❤❤...

jacklinratemo
Автор

February 6--2024 Bado song inanivutia Tupia like Zako hap Kam tup pamoja

GodfreyKunambi
Автор

Wanaoendelea kufuatilia mwez uu wa 5 .2024 ngoga lak watu wa mungu

tdjfsqw
Автор

The song is completely bringing back the lost hopes, wapi like za watu wanabariiiwa na huu wimbo mikono juu

maryannachieng
Автор

Napenda wimbo huu sana, maana ninapo husika nasikia kama roho yangu imetulia🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

polinesagina-utrs
Автор

Watching it over and over again....in my house this is the cure. In the office I'm stuck at this message. Kama uko hapa today 19/04/2024 Preparation Day, rusha likes we gather blessings in unison!

oyotata
Автор

Wimbo ni mzur sana jaman mungu awabarki wimbo utadumu kama neno la mungu amen nipen like jaman kama umewapa salute waliouimba

JuliaMrosso-gxow
Автор

Huu wimbo unamgusa sana na kuinua mioyo ya watu wengi kwa Mungu. Mubarikiwe.

masijabuchafwe
Автор

Mtunzi wa wimbo huu MUNGU amwongezee karama.na Amlinde.

StivinSapi-egkr
Автор

Naweka hii wimbo status every Saturday, hii wimbo imebeba ufunuo makubwa sana, some of us risky our lives to safe our families from poverty. Kenyans where are you?

jerubetjoan
Автор

Yaani alitunga huu wimbo ajue kabisa amemshika kila mtu kiroho. Imagine huu wimbo umekuwa maarufu

mariaemaculatanjuu
Автор

Nimeguswa.... God is good all the time. And He is always there at our disposal, ni jinsi tu ya kumtumia and jinsi ya kupeleka maombi yetu❤

naetwemshana