🔴#LIVE:NI HUZUNI KUBWA JUMATATU YA KWANZA BILA DIDA NDANI YA KIPINDI CHA I MASHAMSHAM I 07-10 -2024

preview_player
Показать описание
🔴#LIVE:NI HUZUNI KUBWA JUMATATU YA KWANZA BILA DIDA NDANI YA KIPINDI CHA I MASHAMSHAM I 07-10 -2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Innalillahi wainnailaihi raajiun Allah amrehemu pema peponi pamoja na wema

UmuSuleiman-mb
Автор

nakuombea kwa Allah akusamehe makosa yako akupe kauli thabiti inalillah wainaillah rajiuun naumia naumia naumia naumia jamani duuuhhhh shoga angu dida

ashashabani
Автор

It's really sad but kazi ya Mungu haina makosa, as a mashamsham lover il really miss you Dida, , RIP Da Dida🇰🇪🇰🇪

olungavictoria
Автор

Dida Mungu akulaze mahali Pema Peponi na akuangazia taa ya Milele. Katika hili la DIDA nimeumia sana. Shabiki wako mkubwa. USA

joycethomas
Автор

I doubt mashamsham will ever be the same again

loulox
Автор

Hakuna atakae ziba pengo lake kwenye hichi kipindi cha mashamsham😢😢😢

swafiya
Автор

Hiv nitasikiliza tena mashamsham kwel?? Mungu akupe kaul thabt da dida 😢

catherinelauwa
Автор

Nakupend kipenzi punzik kwa amani nakuombea kila hatuw

NassorSaid-mw