Mmiliki Mabasi ya J4 Ahukumiwa Kifo 'AMEUA l Tumefurahi Sana' - Ndugu

preview_player
Показать описание
Mmiliki Mabasi ya J4 Ahukumiwa Kifo kwa Kuwaua Wenzake, "Tumefurahi Sana" - Ndugu

Mahakama ya kanda ya mwanza imemuhukumu mfanyabiashara Jumanne maarufu kwa jina la J4 kwa kosa la kuwaua wenzake wawili kwa kuwapiga risasi hukumu hiyo imetolewa na jaji Rumanyika.

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hao wangevuliwa dini yani mnafurahia kifo cha binaadam mwenzenu kisa aliua nduguyenu kweli inaumiza lkn mngemshtakia mwenyezi Mungu tu ndio mwenye mamlaka ya uhai wetu au mungebaki na furaha zenu kwa siri mioyoni mwenu kuliko kujianika mbele za jamii mkifurahia mauwaji najua mumeumia sana na mnahasara ya kupotea kwa ndgyenu lkn ninyi mumeonyesha jino kwa jino sanaa aisee

polokotomwalusamba
Автор

Kufurahia kifo cha mwenzsko ni ukosefu wa imani. Mungu hafundishwi angeachiwa ahukumu. Kitanzi ni kibaya na maumivu yake mabaya.

salimharrasy
Автор

Wanasema, 'ukiweza kumsamehe mtu aliyekukosea, utakuwa umefika kiwango cha juu sana cha imani'. Sijui tunamuabudu Mungu yupi siku hizi kulingana na imani zetu. Yet we call ourselves good Christians or Muslims, na siku za Ibada hatukosi ikiwemo kuwaombea watu Rehema na Neema ya Mungu iwe juu yao. But, hapa tunashabikia na critics kibao kwa aliyehusika huku tukiwa kizani hatujui nini kimejiri zaidi ya kile tunachosimuliwa. Kisasi ni juu ya Mungu mwenyewe, not us humans. God is good, all the time. Amin! 😢🙏

giersulley
Автор

Mwenyezi mungu atupe.mwisho mwema yaraby haileti maana.kuwamtu ukimiliki pesa nyingi.au.malinyingi. ndio uwejeuri na kuchezana.rohozawatu kuwapotezea uhaiwao. Sasahapo kafanya huzuni pandezote kwaaliye muuwa nakwanduguzake kwamaana hawanafurahatena sasajee hiyopesayake mbonahaikwenda kumsaidia kwahakim mungu atupe.subra sana na Hekma. Yaraby

telaamtauta
Автор

usilipize BAYA kwa BAYA, Yesu aliagiza

owagatonny
Автор

Ni mambo ya kisheria tu, lakini hakuna furaha aliyeua akiuwawa au akihukumiwa kifo, kubwa ni kumcha Mungu na kutii sheria bila shuruti.

robertmaginga
Автор

Kikatiba hii hauko sawa, kunaukinzani kati ya katiba na SHERIA. Katiba inaeleza kila MMOJA anahaki ya kuishi, sheria inasema ukiuwa nawe upate adhabu ya kuuwawa/ Kukatishwa maisha.Kosa linaendelea.

agreykayombo
Автор

Nawakubal sana global tv mnajua mb zetu mnatumia vzr

denicegabriel
Автор

tanzania hatunyongagi mnafurah bure tuu huyo ataishi jela mpaka mwisho wa maisha yake... kwahiyo punguzeni vaib.

captendunga
Автор

Wapuunzi Hawa ni wawapi wanafurahia kifo kunyongwa hukumu anayo mungu peke yake mpo

asteriashios
Автор

Hukumu ya haki ni kutoka kwa Muumbaji.
Sifikirii furaha yao italeta faraja. Ila kumwachia Mwenyezi Mungu ahukumu kungeleta faraja.

salimharrasy
Автор

Hukumu ya kifo ni Mungu pekee ndo anapaswa kuitoa

owagatonny
Автор

Sema hatonyongwa, labda atakaa maisha jail, kwa sababu hukumu ya kunyongwa mpaka aweke sighn Mr president, na wengi huwa hawaweki

NR-llsr
Автор

Kama vile Islamic law, kisasi kwa kisasi, wanakoishi Magaidi mwanamke anaweza atembee Usiku wa manane hakuna wa kumgusa, maana hukumu kama hizi zinaleta nidhamu, ila Marais wetu wote ukiacha Mwinyi hawatekelezi hii hukumu, ndio maana amepewa Zawadi ya Umri mrefu na Mwenyezi

ndukulusudikucho_
Автор

Hivi nyie mnaefurahia hiyo huku nyie mnauhakika wa kushuhudia hiyo hukumu atakapo nyongwa? msichekelee sana hakuna. Anaeijua kesho yake nyie wote mungu anaweza kuwafleka siku moja tu, kwanin asingepewa mkifungo cha maisha?😊

MeryMbaga-yn
Автор

Safi sana hii ndio inatakiwa ili watu wajifunze wanauwa watu kama mnyama

missmoona
Автор

Hakuna Cha hakimu ni Mungu Wala nini....kaua watu na yeye auliweee...imeisha hiyo

paulchamba
Автор

Inauma ndio sawa.ila Mungu aliyesema usiue ndiye Mungu pia aliyesema usiibe usizini usiseme uongo na mengine Kama hayo pia ndiye Mungu aliyesema samehe kwani hata wewe unahitaji kusamehewa patana na mshitaki wako kabla hajakukabidhi kwa polisi.kwa upande wa Sheria ni sawa maana tunatakiwa kuzitii mamlaka Ila kazi zao kwetu ziwe rahisi.

dativabalige
Автор

Yaani ni hivi wale jamaa wawili walikua ni wadau wa j4 kwa maana ya wafanyabiashara kama yee sasa walifanya deal yao yaani walimfanikishia j4 mambo fulani inaonekana yakwa sasa mgawo au stahik yao ndo ikawa tatizo kila wakimtafuta anawakwepa ndo siku wakakutana sasa ndo j4 akaona jamaa wkali wanataka haki yao na wanamzidi kwa joja. Yeye akachomoa pisto akawapiga risasi kama mbwa naye leo anakufa kama mbwa. Kwani angewalipa ingekuaje hongera selikali

wence
Автор

ila kwa Tanzania mbona kama death penalty haipo labda imprisonment😮

JoyceMbalila