Kabudi: Hakuna Mtanzania aliyeambukizwa virusi vya Corona China

preview_player
Показать описание
Serikali imewataka watanzania kuwa watulivu,makini na kupenda kuwa na subira ya kupata maelezo,maelekezo na ufafanuzi rasmi wa Serikali pale kunakotokea jambo badala ya kukimbilia kwenye mitandao na uvumi ili kuondoa kueneza hali ya taharuki kwa wananchi bila ya kuwa na uhakika. @DailyNewsDigital
#China #CoronaVirus #Tanzania
Рекомендации по теме