filmov
tv
Serikali yazuia wanafunzi wanaosoma China kurudi nchini humo...
Показать описание
Serikali imewataka Watanzania wanaosoma nchini China na walikuwa nchini kwa mapumziko kutorudi nchini #China hadi zitakapopatikana taarifa za kidiplomasia kuona mwenendo wa ugonjwa wa Virusi vya Corona ulivyo na #Tanzania itakapojiridhisha hali iko salama na kama itakuwa vinginevyo itatafuta utaratibu mwingine.
#BungeniDodoma #AzamTVUpdates #Azamnews #CoronaVirus
#BungeniDodoma #AzamTVUpdates #Azamnews #CoronaVirus