Penati ya ushindi | Mashujaa 0-1 Simba | NBC Premier League 03/02/2024

preview_player
Показать описание
Goli pekee la njia ya penati kutoka wa Saidi Ntibazonkiza limeipa Simba pointi tatu muhimu, kwa kuichapa Mashujaa FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Hili hapa goli lenyewe...
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Azam TV mpo vizuri. Mapema Sana yani👏👏👏

aleoforex
Автор

Penati halal, kwa NBC, ni Penati halal 😂, Yale ya jana ndio maudhi Dunia nzima, refa wa game ya leo, na yule Wa jana NBC, yule Wa jana hakuna refa duniani hata fifa wenyewe, wanaweza elewa maamuzi ya offside aliofanya. 😢

rogersgeofrey
Автор

Kwani jana meza zilikua wapi yang washindwe kuuchukua😂😂😂😂

shedrackabdulrehman
Автор

Washabmba wanabana kwao, Jana wamemzuwia uto

rashidmaulid
Автор

Penat ya mchongo kibu amejiangush mwenywe

weldajoshua
Автор

kibu denis ksjiangusha!penalt za MCHONGO

hamzakimaro