VIDEO: RAIS SAMIA AKIINGIA KANISANI na WALINZI WAKE - ASIMAMA KWAYA IKIIMBA MISA ya HAYATI NYERERE

preview_player
Показать описание
VIDEO: RAIS SAMIA AKIINGIA KANISANI na WALINZI WAKE - ASIMAMA KWAYA IKIIMBA MISA ya HAYATI NYERERE

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mama wewe na rais .mwinyi mmeonyesha upendo wa hali ya juu sana mungu awabariki sana.

michaelndilima
Автор

Hongera mama ndomana yakuupiga mwingi hiyo, kila jambo nilakwako wewe ndie kiongozi wa WaTanzania wootee haijalishi kabila wala dhehebu, wanapokuita nenda niupendo wao ❤❤❤

maryamsuleiman
Автор

Amina xana mama kwahili mama umenikoxha nimependa xana kitu Ii uu ndouongozi Bora.

MariaHussen
Автор

Raha ya milele ampe Eeee Bwana na mwanga wa milele amwangazie Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili aweze kuona nuru ya uso wako.RIP🌹🌹🌹

gertrudempaka
Автор

Yani sijaamini nimempenda mama aliyona utii na heshima yani kwangu na kwa mungu wetu mitano tena

Enerygozbet
Автор

Kuna mtu kaguswa hapo jmn mmeona!?? Upendo wa dhat atakuwa msela wake❤

ChaseGabagambi