KIONGOZI MKUU wa HAMAS AUAWA KWENYE UVAMIZI IRAN ni BAADA ya KUSHIRIKI UAPISHO wa RAIS MPYA wa IRAN

preview_player
Показать описание
KIONGOZI MKUU wa HAMAS AUAWA KWENYE UVAMIZI IRAN ni BAADA ya KUSHIRIKI UAPISHO wa RAIS MPYA wa IRAN

Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Hamas ilisema Haniyeh aliuawa katika uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.

Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.

Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa mwenyezi mungu tulitoka na kweke ndiyo marejeo yetu sote rehema za mwenyezi ziwe juu yake ni mwanzo wakuja walio bora ZAIDI yake in sha ALLAH

ibrahimjuma