KIONGOZI wa NGAZI ya JUU wa HAMAS AUAWA KWENYE SHAMBULIZI HUKO GAZA - VITA ya ISRAEL vs PALESTINA...

preview_player
Показать описание
KIONGOZI wa NGAZI ya JUU wa HAMAS AUAWA KWENYE SHAMBULIZI HUKO GAZA - VITA ya ISRAEL vs PALESTINA...

tawi la kijeshi la Kundi la Hamas, Al-Qassan Brigades, linasema shambulizi la kutokea angani la Israel limemuua mmoja wa makamanda wake wa cheo cha juu kabisa.
Kamanda wa Al Qassam Brigades aliyeuawa anaitwa Ayman Nofal.

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1, 000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

globaltv_online
Автор

Laana za mungu ziwashukie izraeli za kila anaeungana nao kwambali au karibu inshallah mungu awashushie tetemeko na balaa yote azibu dunia na kesho siku ya malipo kqa damu walizomwaga za watu wasiokua na hatia ameeen

sadaalsheibani
Автор

Vita inakaribia Mwishoni. Jambazi Kuu kafa

mvullamanase
Автор

Alijiandaa kuua wengine, yakamrudia, Mungu simamia Israeli usiku na mchana

angelsulle
visit shbcf.ru