Siku za mwisho za kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh nchini Iran

preview_player
Показать описание
Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa katika shambulizi la anga nchini Iran lililotokea tarehe 31 Julai

Alikuwa akiishi uhamishoni nchini Qatar na alikuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kwa ajili ya kuapishwa kwa rais mpya wa Iran, Masoud Pezeshkian.

#bbcswahili #hamas #iran

Рекомендации по теме