Nadekezwa - Video Cover By Zuchu

preview_player
Показать описание

Follow Mbosso On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

100% dada unajua natabiri huyu ndo mdada wa pili atakae sainiwa wcb ipo siku mutaikumbuka hii comment

docterdulap
Автор

Wangapi tuko hapa after she's been signed to WCB

muejnr
Автор

Walokuja kuangalia baada ya zuchu kusainiwa wcb tujuaneee🕸😜

waytv
Автор

Wangapi wako hapa baada ya kusign WASAFI

markzyoung
Автор

Who is here after she's signed under WCB label?🔥🔥

kyymbernards
Автор

Jaman sio kila jambo tuvunjane moyo. Kiukwel huyu mdada anajua kuimba na anasauti nzuri sana. Hongera sana!! Kikubwa tu usichoke kumuomba Mungu, usikate tamaa, Uwe na heshima, Nidham.. Naamin kupitia hii Cover Tanzania itakujua na Africa kwa ujumla..

hanzurunimkai
Автор

Demu anajua sana, saut inatoka kwenye koo kabisaaa naisikia, aitok puani

idrisson
Автор

hii ni cover lazima iwe na manjonjo tofauti so big up sanaaa dada kazi nzuri wote tunaokubali gonga like....🙏🙏🙏

muniraomary
Автор

Wale ambao tulikua tunamsubiria Hanstone tupite na like😔💔 KENYA 🇰🇪

princenewton
Автор

Aisee huyu dada namsikiza mpaka nasismka mwili aisee...she has fantastic voice

selemanishaame
Автор

Wote mnao sema anaringa ni wivu tu na roho mbya zimewajaa mtu anaimba mpka mwili unasisimka

priscasaid
Автор

Zuchu's voice in this cover feels extremely rich.

calzzable
Автор

Km na ww umemjuaa zuchu baada ya kusainiwa WCB gonga like

bensonsatian
Автор

Beautiful rendition, i love how u knw how to play with yo voice, u dd justice to this song jst jst too awesome!! I LOVE

aishasaid
Автор

Jaman nampenda sana zuchu anan fulaisha anavyo ipa gonga like kama unampenda zuchu

mudricktz
Автор

Sichoki kumuangalia, hii kitu kaitendea haki, acheni aringe, mmesahau ni mwanamke na wimbo wenyewe unaruhusu sana kufanya alichofanya ni super, kwa kifupi huyu ni hatari mno. big up mdada

halidymarusu
Автор

Zuchu una sauti nzuri yenye nguvu, unafaa sana kuimba muziki wa jazz au soul. Hongera sana.

teacherchundu
Автор

Dada zuchu kafanya vizuri sana hongera sana i love it.. Yani sichoki kuisikiza. Kama vile ananiimbia mimi namdekeza Tosha zuchu unaniua ua umetisha💯

I_am_Faisal
Автор

Dah!!! Nakosa niseme nini kwa hii sauti na jinsi alivyoimba humo ndani...sura yake ndiyo anaringia mmmmh! Salute

melkiadgangai
Автор

Niliuona tu uwezo wake wa kuimba ni mkubwa hapa. Nani mwengine aliekuwa na maono kama yangu aweke like👍 hapa.

hmooCrescent