Zuchu Unplugged - Litawachoma

preview_player
Показать описание
Get #IamZuchu EP Now 👇🏼

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Litawachoma #Wasafi
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

My zuchu my song. Kah c nyimbo zako, sauti yako, why buy bundles, no need. Love you zuchu huku nikiamini ntafika ulipo coz everything is possible with God. God bless you more zuchu. Wapi likes zangu jameni?

ariedprince
Автор

Nani ameona zote this girl can sing aki from Kenya much love ❤️ 🇰🇪

carolinemusila
Автор

Hakuna kama wew ata wawalete mia we ni star wao east Africa watagezaaa trust me nakwambia hizi aidia ni wcb kwengine ni uchafu tu

fridajosephyusif
Автор

zuchu kweli wew nimwanasheria
wa sauti yako, na umeinyoosha

isacklaurent
Автор

Zuchu sina chakukulipa zaidi ya kukusapot mwazo mwisho, wewe ni msanii wakike bora East Africa na dunia 🔥🔥🔥

arafampoma
Автор

Mama kopa, moto umezaa moto 😘 imba zuchu imba💝💝

khadijahkhdoo
Автор

Simba jikee...na litawachoma sana eee..🥰

joyceluswetula
Автор

Love you 😘 zuchuu umeumbwa na sauti darling. Na wimbo tamu saaaana 🌹🌹❤️❤️❤️🇰🇪

djyondergigi
Автор

zuchu all the way come to Kenya and perform pleaaaase.wapi likes za wakenya😘😘😘

barbaranyagoha
Автор

Star wa kike mwenye kujituma zaidi mob love from 254 mld

happyjohnson
Автор

Watching from the Caribbean, Trinidad to be precise.

My husband is from East Africa, Kenya.

I am falling in love with your voice more and more Zuchu. Thank you for sharing.

cavernedmochache
Автор

I can't get enough of your vocals..how can u do this to me Zuchu😍😍😍😍😍

africaauntheticcivilizatio
Автор

Zuchu dah! That voice of yours kwa kweli aisee! You did even more than justice kwa kweli!

stephenndeji
Автор

Eish!! She has a touch of taarab... Very spicey... napenda ... Songi murwa kabisa!!

karolkemei
Автор

Come to Kenya zuchu u kill me, I wish you were my beb singing for me

rhiwajmusic
Автор

Zuchuuu MASHA Allah maana wapenzi wako tupo hoi hatuna la kusema mungu akuongozeee zaidi ili zitimie dreams zako

qamaryasalim
Автор

Namuona mbali zuchu 💥💥💥 u are a star go go girl

chrispinlaurian
Автор

Nasikia Zuchu anatokea MOMBASA- KENYA. Zanzibar huwa anaenda kutalii tu! 🏃🏃🏃😅😆

abbyadams
Автор

Zuchu ukizidi asira we nichape mababy buu lazima litawachoma Sana😍😍😍

officialmichaeltz
Автор

Mbona hakujub kujenga Sanam la zuchu Bei gn jmn 😀

reginaphilimon
join shbcf.ru