NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bwana YESU CHRISTO asifiwe mtumishi wa Mungu, mimi naishi marecani, kwakweli izo ndoto mimi naziota sana nikiwa afrcan pia nikiwa darasani Mungu nisaidiye

mauwashomari
Автор

Amen baba yangu, Mungu akuongeze utukufu hata utukufu, Roho wa Mungu yuko ndani yako hakika.

joshuaonefive
Автор

Asante mtumishi, MUNGU akubariki mtumishi naomba Masada wa maombi sababu naota kila Mara niko kwenye mtiani na siumalizi ndoto hii inajirudia tafadhali nisaidie.kwa maombi.

furahaabdallah
Автор

Mungu ndoto m mbaya uzifute kwajina lakopeke yako. Mungu AMEN AMEN AMEN

djumazuena
Автор

Miungu akubaliki pastor hizi ndoto mbili nimekuwa nikiota nipo nafanya mithihani simalizi na nipo kijijini sikuelewa tuombee mtumishi wa mungu

fidelfidel-jziw
Автор

Thank you pastor.pray for me I had such a dream at night.i was in my village where I used to be many yrs ago.

janemugwiria
Автор

Amen MTU wa mungu mungu hazidi kukutumia said Na zaid

shukururukaga
Автор

Asante babaa niombee mm mara nyingi naota Niko darasan kufanya mtihan mara kwa mara sana mungu anisaidie

annafrancis
Автор

Ameen mtumishi ndoto hizi Huwa naziota sana nahitaji msaada

neemacharles
Автор

Amen that pastor is talking the truth do not judge him he is truly a man ofGod

annmungai
Автор

Niliota ndoto hiz last year jumba mbovu then niko shule lower class Mungu nakataa ndoto hiz kwa damu ya Yesu christo

shiplegcm
Автор

Amen pastor me huota ile ndoto ya pili na ya tatu nafanya mtihani tena najikuta natembea kijijini

maureenwanyama
Автор

Mm huwa naota Sana ndoto no 3 eeeh mungu niepushe na hili

annamasebo
Автор

Mungu akupe maisha maref nabii uzdi kutufumbua macho

MilikaYohan
Автор

Mimi iyo ndoto ya kurud kijijin naoyota sana naomba uniombee mtumishi wa mungu

BarakaMwita-zq
Автор

Bwana asifiwe mchungaji, nahitaji maombi, hizo ndoto zote umeongelea huwa sinanikujia mara kwa mara nashindwa kuelewa shida ni nini, nashukuru sana kunifanya nielewe maana yake, barikiwa sana mchungaji.

esthernafula
Автор

Kweli mtumishi mm Mara nyingi naota nipo Kijiji kwetu nilikuwa cjajua maana yake nashukuru mtumishi was mungu fro zambi

kasondesampa
Автор

Nisaidie baba Mimi kijana maisha yangu yamekuwa ni yakuwa na mawazo abaya kwenye hakili yangu

BeIvanny
Автор

Amina mtumishi mungu awatie nguvu mtumishi

NancyJohn-rpuz
Автор

Mafundisho ya mashetani ndo HYa. Hakuna Roho mtakatifu hapo. Hubiri Kristo na Sio ndoto. Ww unayeota ndoto badili mfumo wako wa maisha na mawazo hata chakula tu. Hakuna maadui. Adui yetu ni mmoja tu shetani ambaye ukitoka ushamshinda.

godwinnyambulapi