Nay Wa Mitego Ft Darassa - Hustler [Official Music Video]

preview_player
Показать описание
A music video for HUSTLER by Nay Wa Mitego featuring Darassa

Video by ‪Director NiCKLASS
Audio Produced by Chiby Beats

Connect Nay Wa Mitego on Social Media:
Instagram: / naytrueboytz
Facebook: / naywamitego
Twitter: / naythetrueboy

Connect with Darassa on Social Media:
Instagram: / darassacmg255
Facebook: / darassacmg
Twitter: / darassa_cmg

+For More Information Booking Nay:

+For More Information Booking Darassa:



©2024 Freenation Rec.All Rights Reserved

#naywamitego #Hustler #darassa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu Ney wa Mitego anafaa kuwa Rais wa Nchi au Generali mkuu wa nchi❤❤😅🔥🙌

stanslausjohn
Автор

sema uyu jamaa nick crass
big dirctor yan duh hebu
paaoneni kipande cha darasa
halivyo pachezea

TALLUBOY
Автор

Mungu bariki yeyote atakae like hii coment❤

Tigerprocessworldwide
Автор

nyimbo imenikuta nikiwa katikati ya mji kupambana. GONGA like kama wewe ni HUSTLER

yusuphisack
Автор

Chini ya maji Kenyan musicians, I like this two forever ❤🎉

maghetto
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥
Naiona Remix Ney + Darasa + Mr Blue + Bill nass Nenga Hatari sana mpk Dec, 2024 najua itakuwa tayar

adamgodwinntalindanya
Автор

Like za kutosha kwa ma hustler wote hapa, mungu atabariki one day.

salimumwenjuma
Автор

Huu Mziki ni wa ukweli...ME NI HUSTLER

blacktopazoba
Автор

Wa Kongomanii tuko apaa kweli 🇨🇩🇨🇩 Sikiliza ngoma vizuri🤔🤔🔥🔥

MandisiMechackLM
Автор

Rama wakwanza like yako apo kama umeikubali hi ngoma

RamadhanHassan-yp
Автор

Nakubali kwa niaba ya ma hustle wote dunian kasoro Ruto.

TonnleeLwisgon-cm
Автор

Mungu naomba usinichukue kabla mwanangu hawajajua kufish 😢😢😢😢❤❤❤❤❤

NicanoryKevogo
Автор

Kama umemuelewa Darasa gonga like yake kama sapoti hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

YusuphMutambo
Автор

Mr ney WAMITEGO wewe ni jeshi unastahili kuitwa jeshi umetusemea sana na unatufia kwa. Kila HATUA uko teyali kupoteza uhai wako kwajili yetu mimi Nakuelewa wewe tu bongo wasanii wengi ni njaa tu Ney Roma heshima KWENU 💪💪💪🙏🙏🙏🌹🌹🌹

saidchaula
Автор

Bro me huwa sielewqgi Ngoma zako ila mabachela na hii duuu we ni kwere... Respect sana kaka .

Don_Will.i.am
Автор

Nilipokuwa katika teenage nilikuwa nakutana na wewe pale Eches Cafe mtaa wa 99 Congo. Ulikuwa bado na JKT Ruvu, uliweza kucheza music instruments zote.

Deorashid
Автор

Haya maisha naniii you need mi ni hustler🔥🔥

peter_the_dj
Автор

Mm kama hustler nimeukubali. Wapi likes za ma hustlers wenzangu

SAIDMBARUK
Автор

Bado dakika 14 tu Ngoma lifunguke 🎉🎉🎉🎉 nyie me nampenda nay ❤

ElJannatyKhanDior
Автор

Darasa never get old he is new everyday much respect

raspowizzy