Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Music by Alikiba featuring Marioo performing "Sumu" a swahili word meaning poison, it’s a vibe song with a message, talking about how awful and sinful to have relationships with people who are married but also a message to people who don’t fulfill there duties in paying debts hence advice to stay away from married people !! It’s an (Amapiano) song that has a pure Bongo fleva touch. Enjoy this beautiful tune.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

Connect with Marioo on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

#Alikiba #Marioo #Sumu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dahh king ni mmoja tu mpaka afe tuchague mwingine gonga like za kiba hata kumi wazee kazi mzriii xn

GeorgePeter-mpvl
Автор

Mafundii wawili kwenye Amapiano Dadekiii 🔥🔥 gonga like tuondoke

markostar
Автор

Only one king wakwanza jaman naomben like zenu amapiano fulan jamaa.

mahengeisaya
Автор

Mbona sijasikia Chino wa men 🔥 Kama nakubali King & Toto Bad Gonga Like 🤩

alideassomanecassimo
Автор

KING 👑 ME ndo wakwanza jaman naomben zanguuuu likee
Goma la kikatilii uyu kiba bc kashndkanaaa

tarikiramadhan
Автор

Haaa uyu nan kaimba tena hii ngoma.. hooo kumbe king mfalume wa musc duuuh aya twenden sawa wanangu

JoshuaSanga-scxy
Автор

Bonge moja la hits hili yaani ni la kuombea mkopo kabisa na ukapewa bila maswali. #KingKiba

Chida
Автор

Alikiba na marioo mmeuwaaa sijawah kutegemea alkiba angeimba namna hii na beat ya bongo piano.hili goma n 🔥🔥

charlesmassawe
Автор

Jameni huu alikiba mbona bingwa sana ❤❤❤? Hii amapiano is so fire 🔥 🔥 🔥

GatoreSuguabwoy
Автор

Bonge la ngoma kaka mafundi mmekutana hakikisha mondi akai namba 1 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

starvoxtz-plxj
Автор

King kiba noma sana 100%ngoma kali sana haina kelele inaskilizika kwa kila mtu

thobiasgerefance
Автор

Bonge ya ngomaaa kudadeki trend ni moja mpaka mwaka.uishe

eaglemaris
Автор

Mwamba huyu hapa sasa, tulisubiri chuma hiki hapa🔥🔥🔥🔥 nilijua tu kitawaka haya likes hapa team good music

imanmodern
Автор

Kama umeikubali ngoma ya king kiba gonga like hapa please

ayou
Автор

Jaman ni amapiano lakin watu wameimba sio kelele wala tatusi..Nomaaa king

salumhilary
Автор

Salute kwa alikiba tumeiyelewa ngoma ❤❤

RayaRidhwanShehe-xxcq
Автор

King Kiba hazeeki bana 💥hits tu from nikiwa around 7yrs mpaka sasa uzeeni 21yrs man. Living Legend✊

brunoosumba
Автор

Shabiki mwenye mapenzi ya kweli hali lali hovyo mpaka jambo la mfalme lipite ukilala bila kufanya kazi utaiba na ukumbuke kuna jela #Sumu

rosesamila
Автор

Wewe uliyoko apa saizi kuakikisha tunapeta 1 on Trending twanga like tufahamiane apa #Kings

Chida
Автор

Mwenzenu niko BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nipeye like Kiba&Mario 🔥🔥🔥

edmodric
welcome to shbcf.ru