MALIKIA WA ZIWANI ( FULL MOVIE )

preview_player
Показать описание
MALIKIA WA ZIWANI FULL MOVIE

Zinduna anapewa nguvu ya kuwa mganga mwenye nguvu kutoka kwa wazee wa ukoo wake..Nguvu hii inazua gumzo baada ya kuonekana inahitajika na kundi kubwa la watu hasa wachawi wakubwa...

TAMTHILIA YA MALIKIA WA ZIWANI IFUATILIE HAPAHAPA YOUTUBE

#katunimpya2023 #katunizakiswahili #hadithizakiswahili2023
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Napenda sana cartoon endeleeni kubuni jmn mnanifurahisha mnooo

UziaKisanganya
Автор

I love it so much and I hope you have fun

ClaraCreytus
Автор

Mmmh! Nzuri nimeipenda I will have to see❤🎉

neemaSimbeye-kw
Автор

Mhhh it's very nice I love❤❤ cartoons

houssamlghafry
Автор

Bora ht alivyo julikana maana anakera km sio malkia jitu zima ka litoto malkia lkn hasimamii vzr

houssamlghafry
Автор

Mh jaman bonge la dude nimependa san❤❤❤❤❤❤😂💝💖💞💕💓😘🥰🤩🥳

CathyJimin
Автор

Mmmh! Nzuri xana jaman I like cartoon❤😊😊🎉

WilliamLameck-jbby
Автор

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ni nzuri kweli inavutia

MarthaJoseph-eh
Автор

Jamani, ninatamani awe dadangu, yeye ni mzuri sana

AminaadamuAminaadamu-fe
Автор

Ata mfalume anaongoza vizuri kuliko ata ruto wetu apa kenya😢😢😅😅

puritynyanchoka
Автор

Hello nimeipenda sanaa hii story sehemu ya pili hamna? Ningefurah sanaa kama mngeleta sehemu ya pili

EmiliaJosiah-pl
Автор

Waleikoumsalam warahmatullah wabarakatuh mwanangu tumeamka salama alhamdulillah tunamshukuru M'mungu tunendelea vizuri alhamdulillah namshukuru M'mungu hofu kwako mwanangu unaendeleaje 😅😅😅😅😅😅😅😅

abubakarmuhoza
Автор

Tam mno, sehemu ya pili iko wapi duuh

sktvonline
Автор

Napenda kazi zuri unaona Mimi nipo peke yangu kwa mtoto

LeticiaNdandwa